Forex Ukituliza Akili Unapiga Hela Vzuri. Kunaa muda hua nikipata Kahela Ambacho naona hata ikipotea Fresh. Hua naingia Forex, ikinipiga hua naumia. Lakini ukipiga Hela Yake ni Tamu Sana. Unapambana Una Double Account. Alafu unaanza Kula Hela Pole Pole. Tamaa, Discipline na mitaji midogo hua vinawatoa Watu kwenye Reli. Pia Mitaji Midogo Forex Inahitaji utulivu na Akili Mingi. Nimejifunza Miaka Mitatu. Nilichogundua kupigwa hakukwepeki lakin unapunguza Tuu makali ya Kupigwa. Alafu unawapiga Zaidi. Kama umefika hatua ya Kua profitable Trader Forex. Hyo ni Kama kusoma Degree Kabisa. Mimi Sifundishi Forex, Wala Kufanya Management ya Fedha za Mtu Yoyote. Kama unataka Kujifunza Forex sio lazima Seminars Internet is Full of Everything Jifunze Pole Pole. Nawatakia Week Njema.