Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Makonda amelaaniwa na Taifa zima kwa kutoa siri na taarifa za mgonjwa. Tunarudia makosa yaleyale kwa kutaka ati mtu fulani ktk serikali atoe kwa umma taarifa za mgonjwa! Maadam yupo hospial hajajificha nyumbani ni vema mkamshauri huyo mgonjwa ajitangaze kama Mwana FA na wengine walivyofanya.
 
Waziri yuko sahihi kugoma kuhanishwa kwani wanaotaka kumhamisha sio waliomteua, mwenendo wote wa waziri unatakiwa uratibiwe na mteuzi wake kwa usalama wa taifa.
Labda tushauri ijengwe hosipitali maalum kwa viongozi wa juu tu.
 
Ubaguzi hadi kwenye maradhi ambayo hayatubagui!!! It's completely insane.

Acheni hizo.
Waziri yuko sahihi kugoma kuhanishwa kwani wanaotaka kumhamisha sio waliomteua, mwenendo wote wa waziri unatakiwa uratibiwe na mteuzi wake kwa usalama wa taifa.
Labda tushauri ijengwe hosipitali maalum kwa viongozi wa juu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla nakushauri futa huu uzi. Kama ulipokonyoka ktk line ya akina Kabendera hapa utanasa. Ni ushauri tuu maana umetafutiwa target muda mrefu.

What if kama amemaanisha waziri wa wingereza? Kwani hapo ametaja jina? Ametaja anatokea inchi gani?

Basi tufanye ni Waziri wa Iran
 
Hapa sijui ni mkono umeteleza kama wa ....View attachment 1402366
Enzi za Kikwete ,Msoga alikua hapati muda wa kwenda,breaking news za Safar zake zilikua ni overseas, Caribbean, States, Europe, Asia na Australia ndio zilikua destinations zake na hawa watu wenye YouTube channel ilikua ni Ngumu kukeep up na Mkwere, SASA huyu mara Yuko Dom,Mwanza au Chato, YouTubers wote wanamudu gharama za kumfuatilia.
 

Hii nji Ina upuuzi mwingi Sana unaofanywa na Serikali ya majambazi wa CCM...!!
 
Kwani akiugua korona wewe inakuhusu nini
Swali la kijinga kabisa hili! Hebu msome Tena P. Waziri yupo hospitali na amekataa kuwekwa karantini na isitoshe, hospitali hiyo inahudumia magonjwa yote!
Madaktari na manesi pamoja na wagonjwa na ndugu zao Maisha yao yapo hatarini kwani waziri hataki kujambishwa! Sijui Kama unauona huo mkufu wa maambukizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…