Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Makonda amelaaniwa na Taifa zima kwa kutoa siri na taarifa za mgonjwa. Tunarudia makosa yaleyale kwa kutaka ati mtu fulani ktk serikali atoe kwa umma taarifa za mgonjwa! Maadam yupo hospial hajajificha nyumbani ni vema mkamshauri huyo mgonjwa ajitangaze kama Mwana FA na wengine walivyofanya.