robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,111
- 3,294
should he uncode the code?Paskali acha kutuchezesha kama wanasesere, tumebashiri mengi na unagonga LIKE kila pale.... vipi tukupe mji utegue kitendawili..?
Natabiri: atakuwa yule mwenye kuangalia wenzake kwa kuwakazia macho. Yule alietolewa jalalani.
Ziara kikazi
Labda kama angekuwa upinzani, hatothubutu kumtaja kiongozi wa CCM. Kilangila.Kama ni kweli basi huo ni ulimbukeni tu, ingekuwa kipindupindu labda ndiyo fedheha.
Ngoja tumsubiri Makonda atutajie!
Corona inamuhusu kila mtu. Atawaambukiza wengine hata wewe mwenyewe. Kilangila.Kwani akiugua korona wewe inakuhusu nini
Kinachomhusu ni yeye kutaka kuambikiza wengine kimakusudi.hata hivyo Kama huyo waziri amelazwa hospital za Dar naamini Makonda atamtaja ili kutulinda wananchi wa DarKwani akiugua korona wewe inakuhusu nini
Pamoja na maadili ya kazi ubinadamu unabaki palepale. Wew mgonjwa ni mkaidi, unamhudumia afu analeta meza ya ofisini kwake kwenye kitanda Cha wodini. Ukienda kwenye ofisini ya mtu, Basi jaribu kumheshimu, na siyo kutumia nafasi yako kukaidi maelekezo, tena ya kitaalumu!Kinacho nishangaza, ni wingi wa details za mgonjwa, kutoka kwa huyo daktar/muuguzi/mtoa taarifa wako asiye na maadili ya kazi pia.
Anyway, atapona kama yupo. Maana ugonjwa hauchagui vyeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza ili nipate kuelewa na kuuliza si ujinga,sasa maneno yote hayo yanatoka wapi? Kama nimekuudhi kwa kuuliza basi nisamee sana.Inaelekea akili zimeshukia tumboni. Fanya haraka tafuta sehemu tundika miguu juu kichwa kiwe chini ili akili zirudi sehemu yake, utaelewa uzi unataka nini
Vinginevyo muda si mrefu choo kitakuita ukanye,baada ya hapo hutoelewa chochote maisha mwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kajitangaza mwenyewe ila kinachoendelea hapa ni tofauti.Mbona anaendelea vizuri mheshimiwa waziri na alirudi kwao Uingereza Jana usiku akajitangaza .Ila yupo poa na anaendelea kupiga kazi zake karantine kwa internet.View attachment 1402672
Hana hajakufuta uzi hio nikweli niwaziri wa SMZ ,na mwengine anadalili pia yupo karantini walisafiri pamojaPascal Mayalla nakushauri futa huu uzi. Kama ulipokonyoka ktk line ya akina Kabendera hapa utanasa. Ni ushauri tuu maana umetafutiwa target muda mrefu.
Teyari ishatangazwa hapa makonda afanye nini tena?
Teyari ishatangazwa hapa makonda afanye nini tena?
Hathamini katika tunayo yatetea na kuyapinga.
Mkuu, mbona tumeambiwa mwenye dhamana ya kutangaza hayo majina ni wale wakuu watatu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda anaonekana kakosea kutokana na mtu aliyemtaja tu na ndiyo maana hapa Pascal haonekani kukosea.Huyu Makonda hajamsikia?
Tunaposema kuna ubaguzi wa kisiasa kwenye suala hili mnatoa mapovu. Haya Makonda nenda Stendi Ubungo katangaze na Kabudi amejificha Mloganzila.
Sent using Jamii Forums mobile app