Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Mbona anaendelea vizuri mheshimiwa waziri na alirudi kwao Uingereza Jana usiku akajitangaza .Ila yupo poa na anaendelea kupiga kazi zake karantine kwa internet.
_20200329_094625.JPG
 
Wew mwenye maadlili nenda ukapumuliwe nae Kama utakuwa na jeuri ya maadili ya kazi.
Kinacho nishangaza, ni wingi wa details za mgonjwa, kutoka kwa huyo daktar/muuguzi/mtoa taarifa wako asiye na maadili ya kazi pia.

Anyway, atapona kama yupo. Maana ugonjwa hauchagui vyeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na maadili ya kazi ubinadamu unabaki palepale. Wew mgonjwa ni mkaidi, unamhudumia afu analeta meza ya ofisini kwake kwenye kitanda Cha wodini. Ukienda kwenye ofisini ya mtu, Basi jaribu kumheshimu, na siyo kutumia nafasi yako kukaidi maelekezo, tena ya kitaalumu!

Watu na heshima zao wamejitokeza na kutiii taratibu zilizowekwa na Wizara ya Afya mfano , Uingereza, sembuse hawa wa Viti maalum!!!

Mkiwa mnawaza kuhusu maadili, jipeni nafasi ya wenzenu. Wew ndo Mtaalam, unatoa ushauri unadharaulika, ni bora utafute namna ya kujisunuru. Huyu muuguzi/Dr ni mzalendo Sana kwa Taifa, kuliko wew ambaye unataka kutumia maadili ili watu wapukutike.

Fikiria vizuri Mkuu. Vinginevyo nenda umuuguze/ umhudumie wew mwenye maadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaelekea akili zimeshukia tumboni. Fanya haraka tafuta sehemu tundika miguu juu kichwa kiwe chini ili akili zirudi sehemu yake, utaelewa uzi unataka nini
Vinginevyo muda si mrefu choo kitakuita ukanye,baada ya hapo hutoelewa chochote maisha mwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza ili nipate kuelewa na kuuliza si ujinga,sasa maneno yote hayo yanatoka wapi? Kama nimekuudhi kwa kuuliza basi nisamee sana.
 
Huyu Makonda hajamsikia?
Tunaposema kuna ubaguzi wa kisiasa kwenye suala hili mnatoa mapovu. Haya Makonda nenda Stendi Ubungo katangaze na Kabudi amejificha Mloganzila.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda anaonekana kakosea kutokana na mtu aliyemtaja tu na ndiyo maana hapa Pascal haonekani kukosea.

Hatuamini katika tunayo yatetea na kuyapinga.
 
Back
Top Bottom