Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Waziri yuko sahihi kugoma kuhanishwa kwani wanaotaka kumhamisha sio waliomteua, mwenendo wote wa waziri unatakiwa uratibiwe na mteuzi wake kwa usalama wa taifa.
Labda tushauri ijengwe hosipitali maalum kwa viongozi wa juu tu.
Na hata siku ikifika ya kumrudia mola, kama ni Waziri, lazima kwanza aombwe aliyemteua kwanza kuwa Mh. Waziri inatakiwa arudi mavumbini. Waziri ni mtu mkubwa hawezi kuondoka tu wakati yawezekana akawa hajamaliza kuwahudumia wanyonge.
 
Watanzania tunautamaduni wakuungana kwenye mambo yamsingi tofauti na gvt ...hapa mayala ametwambia jambo zuri LA kitanzania na sio lakiserikali LA ki nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa leo Pascal amewaongasha watanzania kwa kuwaelezea yale ambayo yanayo wafurahisha watanzania tofauti na anavyowaudhigi kwa kueleza yasiyo wafurahisha na ndipo anageuka kuwa mchumia tumbo.
 
Wewe hujui tu jinsi gani serikali ya jamhuri ya muungano ilivyo jizatiti kukabiliana na ugonjwa huu...huoni kasi ya maambukizi kwetu ilivyo ndogo kulinganisha na nchi zingine??? Mkuu tulia hii ndio yz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi kwan kuugua corona ni aibu kwa jamii ? Aisee kwa hali hii nasi inawezekana kuna wagonjwa wengi Sana wapo majumbani hawataki kujitokeza wakijua ni aibu kua na corona ,
Jamani tuchukulie huu ugonjwa Kama magonjwa mengine tu bila ya hivyo watu wengi wataathirika na janga hili bila serekali kutambua .



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom