Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Kwahiyo makonda kosa lake ni kwamba si mwanahabari hivyo Pascal kama ndio angeeleza taarifa za mgonjwa(mtoto wa mbowe) ndio ingekuwa sawa?
Mkuu..
Taarifa na Hatua zilizochukuliwa zinatolewa na Serikali ,hasa Waziri mwenye dhamana..

Habari zinatolewa na Wanahabari..

Kama ni tetesi Pascal anaweza kutoa habari za Mbowe, Ila si Mtoto wa Mbowe..na atawasilisha kwa kutumia Kiongozi wa chama cha Upinzani si kutaja Jina Mbowe.

Huyo Makonda ni Mkurupukaji asiyejua Majukumu yake.

Pia Pascal amesema hili ni swali tena ni tetesi..
 
Alikuwa na nani katika safari yake ya Italy na Uingereza? Je watu hao wote wamefuatiliwa kama wana maambukizi ama la ukiacha wale wengine ambao kakutana nao baada ya kurudi?

Hapo ndipo penye mtihani na hawa watu wenye uchu wa madaraka
 
Mayala ni njaa kwa lugha ya kizungu!! mkuu umetisha , umeibua mazito!

1.je nchi masikini kama BOngo inaruhusuje waziri muhimu kama yeye asiwepo ofisini? mkuu si amtoe tu na kuteua mtu mwingine na ni idara nyeti sana! huyu ni mgonjwa kimwili na kisaikolojia, hata akipona atabaki na trauma ya Corona na silent stigma ya cabinet wenzake na si afya tena yeye kushika cheo kikubwa hicho! nadhani serikali haiwezi kumsubiri apone ni vizuri kazi apewe mwingine tupige madili ya Corona kufa kufaana nae akipona apewe kazi ingine!!

2. it is fact kama ni yeye kweli na suti first grade akijulikana heshma yake itashuka na kuporomoka ndivyo wabongo walivyo hapa bongo si uzunguni!! watamdharau na watamwita mh ... aka Corona! watamtania miaka kumi!

3. je wakati anaingia nchini alijua ana Corona? na je aliwalindaje wabongo na Corona? kama hakuwalinda ana kesi ya kujibu!!

4. kuna kitu gani kakosea wapi samahani mi naamini kuna kitu behind getting Corona au ni majaaliwa yake tu kudaka Corona!
 
Kaka hakuna Serikali dhaifu hapa chini ya jua kama hiyo Serikali ya Mapinduzi .......... Kipindi cha nyuma alikuwepo Waziri anaitwa Shamuhuna huyu nae alikuwa Mungu mtu Zan........ Msafara wake hakutaka kupishana na gari yoyote hata AMBULANCE. Hospital ya Nazi moja ina wateja wengi wanaoingia na kutoka hapo. Wasipokuwa makini atawamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How vipi , kama vile huoni kwenye ma TV watu wanavyodondoka Italia , Spain , Ufaransa
Naona .....Sasa hiyo inahusiana vipi na comment yangu....Kuna mtu ali-comment kuwa naigopa CCM kuliko Corona? Mimi nikashangaa how? Awali nilikuwa nime-comment jamaa aliyeshauri Mayalla afute Uzi huu...

Mimi kwa kutoona ubaya wa Uzi huu nili-comment kuwa Mayalla Hana haja ya kuufuta Uzi lakini nikatoa tahadhari kwa wachangiaji watakaoropoka kwa maana watakaojikuta wakienda kinyume na maelekezo ya serikali kuhusu utoaji wa taarifa...Sasa mtu akaja na comment kuwa naigopa CCM kuliko Corona.

.kwa mshangao nikacomment how...yaani haya mambo ya CCM yanaingiaje hapo?
 
Naona idadi ya waumini makanisani imepungua sana. Zakuambiwa ongeza na zako -watanzania siyo wajinga.
 
Wachangiaji ni pamoja na wewe. Mmeshindwa kumchukulia hatua Paul Makonda aliyeropoka LIVE bila chenga mnakuja kuwatisha wana JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watch out your words...tumeshindwa sisi akina Nani?! Na wewe status yako ni ipi? Inaelekea wako wengi ambao Makonda anawaumiza...Lakini there are so many humu wana-comment je wamechukuliwa hatua?
 
Sijui ni kwa nini umeshindwa kuweka jina la huyu waziri wakati jina lake, wadhifa wake na picha yake vyote vimeshasambaa mitandaoni.
Mbowe mhuni Sana aliitisha press conference akijua fika wakitoka hapo wataenda kuhudhuria press conference za mawaziri ona Sasa matokeo yake, makonda asingetustua tungekwisha
 
Kama ni taarifa ya kweli basi ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ndio maana Waingereza na Wamarekani wanawataka watu wao waondoke Tanzania. Kama hii ni kweli hatuko serious na soon yatatukuta zaidi ya Italia. It is so sad na asante Pascal kwa hii tahadhari. Nadhani hao wauguzi wana haki ya kugomea kumgusa mtu huyu kama kweli yupo na ameamua kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom