Mkuu..Kwahiyo makonda kosa lake ni kwamba si mwanahabari hivyo Pascal kama ndio angeeleza taarifa za mgonjwa(mtoto wa mbowe) ndio ingekuwa sawa?
Hana haja ya kuufuta ila wachangiaji watakaoropoka shauri yao...Pascal Mayalla nakushauri futa huu uzi. Kama ulipokonyoka ktk line ya akina Kabendera hapa utanasa. Ni ushauri tuu maana umetafutiwa target muda mrefu.
Alikuwa na nani katika safari yake ya Italy na Uingereza? Je watu hao wote wamefuatiliwa kama wana maambukizi ama la ukiacha wale wengine ambao kakutana nao baada ya kurudi?
Hana haja ya kuufuta ila wachangiaji watakaoropoka shauri yao...
How???!!Yaani wewe unawaogopa CCM kuliko Corona inayoweza kuangamiza nchi
Wachangiaji ni pamoja na wewe. Mmeshindwa kumchukulia hatua Paul Makonda aliyeropoka LIVE bila chenga mnakuja kuwatisha wana JF?Hana haja ya kuufuta ila wachangiaji watakaoropoka shauri yao...
How???!!
Utakuwa na IQ ya bata mkuu!Yani hata sielewi kitu hata uyo waziri aliye zulula uko ughaibuni simfahamu kabisa yani.
Sent using Jamii Forums mobile app
duh!Kwani akiugua korona wewe inakuhusu nini
Naona .....Sasa hiyo inahusiana vipi na comment yangu....Kuna mtu ali-comment kuwa naigopa CCM kuliko Corona? Mimi nikashangaa how? Awali nilikuwa nime-comment jamaa aliyeshauri Mayalla afute Uzi huu...How vipi , kama vile huoni kwenye ma TV watu wanavyodondoka Italia , Spain , Ufaransa
Watch out your words...tumeshindwa sisi akina Nani?! Na wewe status yako ni ipi? Inaelekea wako wengi ambao Makonda anawaumiza...Lakini there are so many humu wana-comment je wamechukuliwa hatua?Wachangiaji ni pamoja na wewe. Mmeshindwa kumchukulia hatua Paul Makonda aliyeropoka LIVE bila chenga mnakuja kuwatisha wana JF?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe mhuni Sana aliitisha press conference akijua fika wakitoka hapo wataenda kuhudhuria press conference za mawaziri ona Sasa matokeo yake, makonda asingetustua tungekwishaSijui ni kwa nini umeshindwa kuweka jina la huyu waziri wakati jina lake, wadhifa wake na picha yake vyote vimeshasambaa mitandaoni.
Labda ndio maana Waingereza na Wamarekani wanawataka watu wao waondoke Tanzania. Kama hii ni kweli hatuko serious na soon yatatukuta zaidi ya Italia. It is so sad na asante Pascal kwa hii tahadhari. Nadhani hao wauguzi wana haki ya kugomea kumgusa mtu huyu kama kweli yupo na ameamua kufanya hivyo.