Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wale waliobanana kwenye kijiwe cha kahawa wanatupa ujumbe gani kuhusu kukaa mita moja toka kwa mwenzako kwa mujibu wa viongozi wakuu wa serikali!
Yaani analeta mapozi kwenye gonjwa kama hili mbona angejitibia mwenyeweWanabodi,
Naomba kuanza na Angalizo: Mamlaka pekee za kutangaza status report ya ugonjwa wa Corona kwa Tanzania ni
Hivi wajameni hii siyo taarifa ya status ya ugonjwa wa Corona na wala sio update ya Corona, hili ni angalizo la swali nimeuliza na alama kabisa ya kuuliza! Mimi mwenzenu kazi yangu ni kuuliza tuu maswali, na kuna swali niliwahi kuuliza, hadi nikaitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge, kuwa nimetoa statement, kumbe sikutoa statement yoyote bali nimeulizwa swali tu, hivyo bandiko hili nalo ni swali tu lenye alama ya kuuliza hii? nisije nikaitwa popote kuulizwa kuwa nimetoa statement yoyote, unless kwenye janga hili la Corona, hata sisi waandishi haturuhusiwi kuuliza chochote, hata ukisikia chochote kinachohatarisha usalama wa taifa letu tunyamaze tuu tukisubiria hadi hao wasemaji 4 waseme, wasiposema, tupotezee huku tunateketea?.
- Rais wa JMT
- Waziri Mkuu
- Waziri wa Afya
- Msemaji Mkuu wa Serikali
Kufuatia janga la Corona, tunahimizwa tusitangaze taarifa yoyote bila kuipokea kutoka Vyanzo rasmi vya kiserikali.
Lakini inapotokea wewe ni mwandishi wa habari makini na Mzalendo unao jua wajibu wako kama mwanahabari na wajibu wako kwa taifa lako, ukipokea habari kutoka chanzo ambacho wewe unakiamini, na ukathibitishiwa kuwa serikali inajua ila imenyamaza, kwa vile kunyamaza huko kunaweza kutusababishia majanga, hiyo kuitangaza taarifa hiyo ili serikali ichukuwe hatua stahiki ndio uzalendo wa kweli kwa taifa lako.
Mimi licha ya kuwa ni mwana habari, pia nimebahatika kufuta tongo tongo za sheria, hivyo, ili ku tie in all loose ends kunizuia nisiitwe popote kuwajibishwa kisheria, naitoa taarifa bila kutaja majina yoyote, sijasema ni Waziri gani, au waziri wa wapi, hii ili kuisaidia serikali yetu ya JMT, kutimiza wajibu wake wa kuwalinda Watanzania dhidi ya maambukizi ya Corona huku nikiheshimu haki zote za the right to privacy za wagonjwa na za watu, na ningeomba hata miongoni mwa wachangiaji ikitolea ukawa unamjua, ili kuheshimu haki za mgonjwa, nawaomba msimtaje kwa majina.
Nimepokea taarifa hii kutoka very reliable source.
... jina limehifadhiwa (Waziri wa ...) ashukiwa kuugua CORONA.
************************************************************************
Waziri wa... ambaye alikuwa safarini akitua nchini kutokea London (Uingereza [emoji636]) ambapo safari yake ilianzia Italy [emoji634] kisha kurejea wiki tatu zilizopita, amelazwa katika hospitali ya ... akiwa katika hali mbaya huku akishukiwa kuwa ana maambukizi ya virusi vya CORONA.
Dr. Mkuu wa Hospitali ya ... baada ya kumpima vipimo vya awali na kutokana na dalili alizonazo mgonjwa huyo, aliamuru mgonjwa huyo kupelekwa katika eneo maalum la uangilizi kwa ajili ya wagonjwa wote wenye virusi vya corona, lakini Waziri huyo aligoma kuondoka katika Hospitali ya ... akiwaeleza madaktari kuwa yeye kutokana na hadhi yake ya Uwaziri hastahiki kwenda kulazwa katika Hospitali ya Corona, itakuwa ni aibu kwake na kumdhalilisha!.
Mmoja wa wauguzi anaemshughulikia Waziri huyo amesema, Waziri huyo alipokelewa jana akiwa hali tete, huku akichuruzikwa na wingi wa mafua na kikohozi kisichonyamazika... Uchunguzi wa awali unaonesha kuwa na dalili zote za virusi vya CORONA [emoji3083]
Hali hiyo imepelekea wauguzi na madaktari kuwa katika wakati mgumu huku kila mmoja akikhofia kuambukizwa ugonjwa huo na kuweza kuenea kwa watu wengine, kwa kile kilichotajwa kuwa mbali ya kugoma kwenda , kituo Maalum cha wagonjws wa Corona, lakini pia Waziri huyo amegoma kuvaa mask na vifaa vyengine vya kudhibiti kueneza virusi vya CORONA anavyoshukiwa kuathirika navyo kutokana na Safari yake ya Italy kisha kupitia London kurejea Tanzania na homa kali!
Mmoja wa wauguzi katika Hospitali ya hiyo alisema amesikitishwa sana na kitendo cha Waziri huyo kugoma kupelekwa kwenye kituo cha uangalizi, huku Serikali ikimfumbia macho kwa sababu tu ya cheo chake.
Muuguzi huyo alisema kuwa licha ya taarifa hiyo kupelekwa kwa Waziri wa Afya hadi sasa, hakuna hatua zozote zilizochukuliwa, na mgonjwa huyo bado yupo katika Hospitali hiyo pasi na kuvishwa vifaa vya kuzuia maambukizi yasienee kwa wengine.
Kutokana na taharuki hiyo, muuguzi huyo ameiomba Serikali kuacha UBAGUZI katika mambo ya msingi yanayoweza kuhatarisha maisha ya Watanzaia wote!... Ameitaka serikali kupitia Wizara ya Afya kuhakikisha mgonjwa huyo anaondoshwa katika Hospitali ya hiyo haraka kama ilivyofanyika kwa wagonjwa wengine ili kuepusha kuenea kwa haraka maambukizi ya ugonjwa huo hatari!
Mwisho.
My Take.
Kwa vile Corona ni issue za kitabibu, sio lazima kila anayeugua mafua makali ni Corona, inawezeka Waziri ana homa tuu ya kawaida na mafua ya kawaida lakini sio Corona, kama madaktari wanasema sio Corona then sio Corona!.
Lakini kama ni Corona,
Natoa Wito, Only The Truth & Transparency ndio The Only Way Out Kushinda Vita Hii. Kama Waziri amepimwa na ikathibitishwa ni anaugua Corona, then his/her rights to privacy ziheshimiwe kwa kuwa upheld kwa kutokutajwa kwa jina wala wizara yake, ila asipewe any preferential treamement kwasababu yeye ni Waziri, kama mtu ameugua Corona, haijalishi yeye ni nani, msifiche waziri wetu kuugua Corona, ugonjwa wa Corona ni ugonjwa tuu hauchagui wa kumpata na sio ugonjwa wa aibu kusema tuufanye siri, unaficha nini?!. Marais wa dunia wame test positive na wametangaza, mawaziri wakuu wa dunia hadi mwana mfalme ametangaza ndio itakuwa waziri?.
Kama ni kweli kuna Waziri anaugua Corona halafu tunaficha kwasababu yeye ni Waziri, naomba kutoa angalizo la kisa cha mficha maradhi kisije..., nini huwa kinatokea ambacho Kitamuumbua. Naomba Tanzania tusifike huko!
NB. Naombeni tusianze kupiga ramli chonganishi kwa kuanza kumhisi na watu humu kutaka kumjua ni waziri gani, " umdhanie ndiye, siye!". Inawezekana ikawa ni jamaa mmoja tuu jina lake Waziri!
I wish you Saturday night njema.
Paskali
Baada ya chato atasogea wapi tena🤔🤔pascal kwenye ubora wake....nasikia ni Zanzibar..
Ngoja tuendelee kumwombea maana Corona haifichiki..
Ngosha ndio kwanza anakunywa kahawa huku, anazidi kuikimbia Corona.View attachment 1402459
Do you mean bongozozo?Mkuu. These are very serious allegations and if they are true, they are simply unpardonable. Nobody is bigger than Tanzania and the safety of its people. I hope the truth will come out sooner.
Tunakumbushwa na story ya padre wa Kenya. Alipita hapo. Italy. Akaja huko Afrika ya kusini then akaenda Kenya. Akijua kabisa kuwa alikuwa exposed kwa COVID-19. Akawa very Social bila hata Chembe ya huruma.
I just hope it’s not true.
Mkuu, sijakuelewa. Hivi unaamini kabisa ulivyoweka hii picha na ulivyoielewa wewe basi na mimi nitaielewa kama wewe? Weka maelezo. Hatufanani jinsi ya kufikiria.
Hivi jalala fc yu wapi
Siyo Kabudi bwashee.
Prof ni baba mkwe wa RC.......ingekuwa ni yeye lazima angemtangaza kuokoa watu!
Tumefika huko jamani!?Huyu bila ya shaka alitumwa kwenda Italy KUCHUKUA Covid-19 na kuileta Tanzania for a purpose...!!
Naanza kuwa na mashaka kuwa hii Corona umeletwa au kuachiliwa maksudi iingie Tanzania kwa maslahi ya Kisiasa ya chama FULANI!!!...jina kapuni...!
Ivi kwan kuugua corona ni aibu kwa jamii ? Aisee kwa hali hii nasi inawezekana kuna wagonjwa wengi Sana wapo majumbani hawataki kujitokeza wakijua ni aibu kua na corona ,
Jamani tuchukulie huu ugonjwa Kama magonjwa mengine tu bila ya hivyo watu wengi wataathirika na janga hili bila serekali kutambua .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuwa tuangalie ya wenzetu tusifikiri kwetu hayawezi kufikaMkuu, sijakuelewa. Hivi unaamini kabisa ulivyoweka hii picha na ulivyoielewa wewe basi na mimi nitaielewa kama wewe? Weka maelezo. Hatufanani jinsi ya kufikiria.
kuku anakufaje mkuu ?
Wazanzibari washaanza kampeni ya kuhakikisha akipona anashushwa madaraka. Watu wanataka ajieleze alikwenda uk na italy kwa kazi gani, maana muda mkubwa alipokuwepo uk alikuwa katika mji wa Northampton ambao uko mbali sana kutoka londo. London ndiko ambako ulipo ubalozi wa Tanzania na ndiko ambapo serikali ya UK ina inapoendesha shuhuli zake zote ikiwa pamoja na mikutano yote na mawaziri kutoka nchi za kigeni. Isitoshe wakati akiwa Northampto alikuwa akikaa kwa jamaa yake badala ya hoteli, watu wanataka kujua amezifanya nini pesa alilolipiwa kwa ajili ya malazi yake. Inaaminika kuwa alifanya vivo hivyo alipokwenda Italy. Tunangoja tuone serikali itafanya nini hapa.
Yaani ingekuwa vizuri sana angekuwa mzazi wako ...Sikutaka kusikia kua ni Waziri bali nilitamani sana nisikie ni jiwe.......
Wanabodi,
Naomba kuanza na Angalizo: Mamlaka pekee za kutangaza status report ya ugonjwa wa Corona kwa Tanzania ni
Hivi wajameni hii siyo taarifa ya status ya ugonjwa wa Corona na wala sio update ya Corona, hili ni angalizo la swali nimeuliza na alama kabisa ya kuuliza! Mimi mwenzenu kazi yangu ni kuuliza tuu maswali, na kuna swali niliwahi kuuliza, hadi nikaitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge, kuwa nimetoa statement, kumbe sikutoa statement yoyote bali nimeulizwa swali tu, hivyo bandiko hili nalo ni swali tu lenye alama ya kuuliza hii? nisije nikaitwa popote kuulizwa kuwa nimetoa statement yoyote, unless kwenye janga hili la Corona, hata sisi waandishi haturuhusiwi kuuliza chochote, hata ukisikia chochote kinachohatarisha usalama wa taifa letu tunyamaze tuu tukisubiria hadi hao wasemaji 4 waseme, wasiposema, tupotezee huku tunateketea?.
- Rais wa JMT
- Waziri Mkuu
- Waziri wa Afya
- Msemaji Mkuu wa Serikali
Kufuatia janga la Corona, tunahimizwa tusitangaze taarifa yoyote bila kuipokea kutoka Vyanzo rasmi vya kiserikali.
Lakini inapotokea wewe ni mwandishi wa habari makini na Mzalendo unao jua wajibu wako kama mwanahabari na wajibu wako kwa taifa lako, ukipokea habari kutoka chanzo ambacho wewe unakiamini, na ukathibitishiwa kuwa serikali inajua ila imenyamaza, kwa vile kunyamaza huko kunaweza kutusababishia majanga, hiyo kuitangaza taarifa hiyo ili serikali ichukuwe hatua stahiki ndio uzalendo wa kweli kwa taifa lako.
Mimi licha ya kuwa ni mwana habari, pia nimebahatika kufuta tongo tongo za sheria, hivyo, ili ku tie in all loose ends kunizuia nisiitwe popote kuwajibishwa kisheria, naitoa taarifa bila kutaja majina yoyote, sijasema ni Waziri gani, au waziri wa wapi, hii ili kuisaidia serikali yetu ya JMT, kutimiza wajibu wake wa kuwalinda Watanzania dhidi ya maambukizi ya Corona huku nikiheshimu haki zote za the right to privacy za wagonjwa na za watu, na ningeomba hata miongoni mwa wachangiaji ikitolea ukawa unamjua, ili kuheshimu haki za mgonjwa, nawaomba msimtaje kwa majina.
Nimepokea taarifa hii kutoka very reliable source.
... jina limehifadhiwa (Waziri wa ...) ashukiwa kuugua CORONA.
************************************************************************
Waziri wa... ambaye alikuwa safarini akitua nchini kutokea London (Uingereza [emoji636]) ambapo safari yake ilianzia Italy [emoji634] kisha kurejea wiki tatu zilizopita, amelazwa katika hospitali ya ... akiwa katika hali mbaya huku akishukiwa kuwa ana maambukizi ya virusi vya CORONA.
Dr. Mkuu wa Hospitali ya ... baada ya kumpima vipimo vya awali na kutokana na dalili alizonazo mgonjwa huyo, aliamuru mgonjwa huyo kupelekwa katika eneo maalum la uangilizi kwa ajili ya wagonjwa wote wenye virusi vya corona, lakini Waziri huyo aligoma kuondoka katika Hospitali ya ... akiwaeleza madaktari kuwa yeye kutokana na hadhi yake ya Uwaziri hastahiki kwenda kulazwa katika Hospitali ya Corona, itakuwa ni aibu kwake na kumdhalilisha!.
Mmoja wa wauguzi anaemshughulikia Waziri huyo amesema, Waziri huyo alipokelewa jana akiwa hali tete, huku akichuruzikwa na wingi wa mafua na kikohozi kisichonyamazika... Uchunguzi wa awali unaonesha kuwa na dalili zote za virusi vya CORONA 🦠
Hali hiyo imepelekea wauguzi na madaktari kuwa katika wakati mgumu huku kila mmoja akikhofia kuambukizwa ugonjwa huo na kuweza kuenea kwa watu wengine, kwa kile kilichotajwa kuwa mbali ya kugoma kwenda , kituo Maalum cha wagonjws wa Corona, lakini pia Waziri huyo amegoma kuvaa mask na vifaa vyengine vya kudhibiti kueneza virusi vya CORONA anavyoshukiwa kuathirika navyo kutokana na Safari yake ya Italy kisha kupitia London kurejea Tanzania na homa kali!
Mmoja wa wauguzi katika Hospitali ya hiyo alisema amesikitishwa sana na kitendo cha Waziri huyo kugoma kupelekwa kwenye kituo cha uangalizi, huku Serikali ikimfumbia macho kwa sababu tu ya cheo chake.
Muuguzi huyo alisema kuwa licha ya taarifa hiyo kupelekwa kwa Waziri wa Afya hadi sasa, hakuna hatua zozote zilizochukuliwa, na mgonjwa huyo bado yupo katika Hospitali hiyo pasi na kuvishwa vifaa vya kuzuia maambukizi yasienee kwa wengine.
Kutokana na taharuki hiyo, muuguzi huyo ameiomba Serikali kuacha UBAGUZI katika mambo ya msingi yanayoweza kuhatarisha maisha ya Watanzaia wote!... Ameitaka serikali kupitia Wizara ya Afya kuhakikisha mgonjwa huyo anaondoshwa katika Hospitali ya hiyo haraka kama ilivyofanyika kwa wagonjwa wengine ili kuepusha kuenea kwa haraka maambukizi ya ugonjwa huo hatari!
Mwisho.
My Take.
Kwa vile Corona ni issue za kitabibu, sio lazima kila anayeugua mafua makali ni Corona, inawezeka Waziri ana homa tuu ya kawaida na mafua ya kawaida lakini sio Corona, kama madaktari wanasema sio Corona then sio Corona!.
Lakini kama ni Corona,
Natoa Wito, Only The Truth & Transparency ndio The Only Way Out Kushinda Vita Hii. Kama Waziri amepimwa na ikathibitishwa ni anaugua Corona, then his/her rights to privacy ziheshimiwe kwa kuwa upheld kwa kutokutajwa kwa jina wala wizara yake, ila asipewe any preferential treamement kwasababu yeye ni Waziri, kama mtu ameugua Corona, haijalishi yeye ni nani, msifiche waziri wetu kuugua Corona, ugonjwa wa Corona ni ugonjwa tuu hauchagui wa kumpata na sio ugonjwa wa aibu kusema tuufanye siri, unaficha nini?!. Marais wa dunia wame test positive na wametangaza, mawaziri wakuu wa dunia hadi mwana mfalme ametangaza ndio itakuwa waziri?.
Kama ni kweli kuna Waziri anaugua Corona halafu tunaficha kwasababu yeye ni Waziri, naomba kutoa angalizo la kisa cha mficha maradhi kisije..., nini huwa kinatokea ambacho Kitamuumbua. Naomba Tanzania tusifike huko!
NB. Naombeni tusianze kupiga ramli chonganishi kwa kuanza kumhisi na watu humu kutaka kumjua ni waziri gani, " umdhanie ndiye, siye!". Inawezekana ikawa ni jamaa mmoja tuu jina lake Waziri!
I wish you Saturday night njema.
Paskali
Ameikimbia Dar kaenda Dodoma,corona ikamfata Dodoma kakimbia Chattle,AijuiChezea Coronavirus mzee baba huyo baruti Chato hana muda wa kuongoza vikao vya baraza la mawaziri lenye wagonjwa wa Corona.
Halafu kufika Chato ndio anajifanya sterling kunywa kahawa mtaani, harudi Dar akafanye zile stunts zake ubungo stand ndio tuone kweli aamini kwenye maswala ya social distancing.
Hila huko wizara ya afya watakuwa wanasema bossy kweli tumepata sisi tunaimiza wananchi wafanye A, mwenzao bwana mkubwa anafanya B; ni shida.
Habari zinaelezeaje kuhusu maendeleo yake?Pascal Mayalla nimepata habari za kuwa SMZ walikua wana zingua kutaka kulinda na kumlinda sijui kwa sababu ila habari ilimfikia JPM aka amrisha JW wamtoe hapo apelekwe kunako husika. Na ambulance ya jeshi imemtoa hapo na kumpeleka Kidimni.
Sent from my iPad using JamiiForums
Wewe ni mbumbumbu uliyekubuhu!Ameikimbia Dar kaenda Dodoma,corona ikamfata Dodoma kakimbia Chattle,Aijui
Habari zinaelezeaje kuhusu maendeleo yake?