Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!


Ila huyu Salama tumuombee sana maana kuna sauti za wanyonge huko nyuma alizi zima.
Huyu ni Dada wa Hassan Abdu Talib maaruf Kiringo.
Huyu Kiringo ni mtuhumiwa wa kulawiti watoto wengi wadogo chini ya miaka 18.
Ana kesi mahakama ya Zanzibar lakini dada alimkingia kifua alipo kamatwa uwanja wa ndege akitaka kutoroka.
Pia kuna makundi ya wasagaji anahusika nayo.
Hivo tumuombee tu ila dua za watu nazo hasa walodhulumia ni nyingi


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kama waziri mkuu wa uingereza ametangaza kupata maambukizi Hawa wa kwetu wanaficha nn isitoshe marufuku ya karantini inabagua
Burkina Faso mawaziri wanne wameegua corona na wakatangazwa, kenya waziri wa afya baada ya kusemwa alipima na kukutwa hana ina familia yake kaitenga kwa siku 14.

Huko pengine duniani ndio wengi, mawaziri canada, uingereza, spain, italy, Iran ect ect walitest positive.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya kubebana Wanzazibari wanayo sana . Utasikia Jamaa yetu huyu unaona mtu anapita VIP na ndio maana znz hata watu kama kina Shkuba wali flourish sana, kina raza, Abdul Sattar wa darajani wote wana kashfa za Musharaf lakini wanabebwa na viongozi wakubwa wa chama

Hata ukienda kupanda Boti utaona ule upendeleo wa huyu jamaa yetu. Sasa Corona itawafundisha adabu kwamba ujamaa ni mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr Marijan, huyu chief nampata vizur sana ni pathologist alafu huwa hanaga makuu kabisa ni mtu mmoja simple alafu smart ....Bravo chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali wewe huwa na limbepe kushabikia hii serikali kwamba ndio kila kitu, hayo mambo ndio kipimo cha uhovyo wa serikali, angekuwa ni Halima Mdee ndio amehisiwa na hali hiyo naamini hata wewe Paskali usingeandika kwakuremaremba hivyo, ungeandika kwa ujasiri tena ungewatukana chadema wote na kuwataka wampeleke mtu wao kunakostahiri, kwa hiyo Paskali wewe na wenzako mko tayari kumuacha huyo waziri akae hapo na hata akileta maambukizi kwa wengine ?,huyo waziri wa ccm anaonesha jinsi gani viongozi wenzake walivyo, ningekuwa mimi ndio Kiongozi wa hospitali hiyo ningeita hata wanajeshi waje kumtoa kwa nguvu, wenzetu waliostaarabika kama waziri mkuu wa UK, Mwana mfalme wa UK wamejitangaza hadharani bila kujali nyadhifa zao, viongozi wa serikali ya ccm ni janga kama majanga mengine yaliwahi kutokea hapa duniani
 
Nchi za wenzetu kuanzia katibu huyo waziri hawana kazi na wakitoka hapo ni mahakamani wakakutane na mkono wa sheria ambapo kwa makusudi kabisa kama akidhibitika ni muathirika wa covid 19 angeweza kuotumbukiza nchi kwenye janga kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii nji Kuna upuuzi mwingi Sana unatokea chini ya Utawala wa CCM ya awamu hii ya Ngosha Jiwe. Si Zanzibara wala si Zanzibari kote ni shida.....!
Mimi naomba hao wanaopuuzia na kutumia UTAWALA WA CCM Kutaka kuchochea maambukizi ya Corona kwa kukiuka taratibu tulizojiwekea dunia nzima wawe wa kwanza kusulubiwa na gonjwa hili....!!!
Ukija Bara sasa hivi hatusikii maambukizi kuongezeka! Je, ni kweli kuwa hakuna maambukizi au Kuna namna? NCHI zote za Afrika Mashariki kila baada ya 24 hrs zinatoa update ya ongezeko! Mpaka sasaRwanda(70),Kenya(42),Uganda(30),Tanzania(13?) idadi haingozeki wala haipungui........!Je,hiyo hesabu ni sahihi?Je,wageni wote waloingia na kuwekwa karantini au isolation wanapimwa na kweli hawana maambukizi?
 
Kama anatabia ya kinyama hivyo basi hatufai hata kidogo!
 
Uwaziri weka pembeni akitoka afunguliwe mashtaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Kabudi yuko wapi? Angekuwa mstari wa mbele katika mapmbano haya. Na juzi nimemuona Balozi Kairuki akitoa taarifa ambayo kimsingi ilitakiwa itolewe na Wachina wenyewe au na Waziri wetu wa Mambo ya Nje.
nasikia alienda canada akapitia italy.. sasa kutokana na tabia yake ya kutokwa na mipovu kila anapoongea vile virus vilmmaindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…