Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

 
Kuna picha nimeiona sehemu nimeona kama mnaemhisi yupo. Lakini ngoja tusubiri maana watu wenye nia ovu wanauhusiha huu uzi na Prof nguli wa sheria.
 
NAONA UTABIRI WANGU UNATIMIA

WATU MAARUFU MWISHO WAH WATAHITIMISHA UGONJWA WA CORONA NCHINI BAADA YA HAPO WIKI MBILI ITATANGAZWA UMEISHA HATUNA MGONJWA..IWAPO TU WATAMTAJA MGONJWA ELSE TUTAENDA MPAKA MAY
 
Hawezi kuwa waziri wa SMZ,lbda itokee tu. Pascal na mambo ya Zenji wapi na wapi?

Huyu ni wa Tanganyika tu. Muda mwalimu mzuri na msema kweli.

Kifo hakina kificho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh kuna watu humu wabishi sana! Mbali ya kuwa imethibitishwa kwa waziri wa madini zanzibar ndie aliyepata haya maradhi na pia kuelezwa nchi ambazo alizitembelea hivi karibuni bado kuna watu wanabisha. Sasa sijui wanataka ushahidi gani. Madaktari na manurse zanzibar wamethibitisha haya na daktari aliyeoongoza kampeni ya kuhakikisha huyu wazuri mjuvi halazwi hospitali ya mnazimoja ila apelekwe kidimni ameshatajwa mara tele mitandaoni lakini wewe hujaridhika na hayo!!! Duh!!!!!
 
Mkuu Paskali! Kama huyo waziri yupo kwenye hospitali ya jiji la makonda(dar) nakuomba mripoti kwa Makonda, Huyu bwana atamuweka hadharani ili wahusika wamchukue wampeleke sehemu husika
 
Mnajadiri umbea. Machadema bw! Yameishiwa sera, mlizoea kuibiwa siri toka serikarini sasa wakuwapa hayupo mmebakia kunusa visivyonusika! Ca.g wenu ndo alibakia naye kapigwa chini.

Mbona ckuhizi mjadara wa 1.5 tn haupo?Mbona sera ya mafisadi ss haipo?
 
Ulifurahi Trillion na nusu ilipopotea kiaina bila maelezo ?!. Huu upenzi wenu sidhani kama ni uzalendo . Ni unafki

Odhis *
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…