wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Ndio jiweJiwe ndiyo nani?
Mnajadiri umbea. Machadema bw! Yameishiwa sera, mlizoea kuibiwa siri toka serikarini sasa wakuwapa hayupo mmebakia kunusa visivyonusika! Ca.g wenu ndo alibakia naye kapigwa chini.
Mbona ckuhizi mjadara wa 1.5 tn haupo?Mbona sera ya mafisadi ss haipo?
Jiwe ndiyo nani?
Si kaondoka? Na yeye anatafuta cha kumwondosha kumfuata babaye
Mawaziri wote wapo Salama hakuna mwenye shida yoyote acheni story za kutunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kwanza rudia nilichosema awali kabla ya kuanza kutaka kuanza kubishana bila ya sababu. Nilichosema ni kuwa hakuna RAIS wa zanzibar atakaeweza kumtoa Mahmood Thabit Kombo katika baraza la mawaziri Zanzibar kwa sababu amevaa koti la baba yake.
Pia kumbuka tu kuwa hakuna rais wa Zanzibar aliyethubutu kumuondosha Thabiti Kombo katika baraza la mapinduzi au kumtoa katika MBM (Memba wa Baraza la Mapinduzi). Alikuwa waziri asokuwa na wizara maalum (kwa maana ya kuwa hana wizara lakini ni waziri mwenye nguvu zaidi katika baraza la mawaziri kuliko wenye wizara) kwa miaka mingi tu. Alomuondosha Thabiti kombo duniani ni Allah sio rais yeyote wa Zanzibar.
Waziri wa stima ZNZMawaziri wote wapo Salama hakuna mwenye shida yoyote acheni story za kutunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Idiot comment ever!