Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Huu ugonjwa si bure, ni adhabu. Sasa hata aumwe rais, atatibiwa hapa hapa nchini maana hakuna nchi itakayopokea mgonjwa wa corona kutoka taifa jingine. Sasa ndio wataona umuhimu wa kuboresha sekta za afya na kuhakikisha hospital zinavifaa vya kutosha!

Hii ni moja ya funzo kubwa sana,itapendeza pia ikwacharaza watunga sera na watekelezaji wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama hii ni story,waziri mkuu wa koloni letu amepata,Mke wa Rais wa Canada amepeta,Chancellor Makel aliwekwa karantini.........kila mtu anarisk ya kupata ilimradi awe binadamu tu
 
Si kaondoka? Na yeye anatafuta cha kumwondosha kumfuata babaye

Hebu kwanza rudia nilichosema awali kabla ya kuanza kutaka kuanza kubishana bila ya sababu. Nilichosema ni kuwa hakuna RAIS wa zanzibar atakaeweza kumtoa Mahmood Thabit Kombo katika baraza la mawaziri Zanzibar kwa sababu amevaa koti la baba yake.

Pia kumbuka tu kuwa hakuna rais wa Zanzibar aliyethubutu kumuondosha Thabiti Kombo katika baraza la mapinduzi au kumtoa katika MBM (Memba wa Baraza la Mapinduzi).

Alikuwa waziri asokuwa na wizara maalum (kwa maana ya kuwa hana wizara lakini ni waziri mwenye nguvu zaidi katika baraza la mawaziri kuliko wenye wizara) kwa miaka mingi tu. Alomuondosha Thabiti kombo duniani ni Allah sio rais yeyote wa Zanzibar.
 
Mawaziri wote wapo Salama hakuna mwenye shida yoyote acheni story za kutunga

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hivyo yule alikuwepo hospitali ya kidimni si waziri? Kuna picha akiwa kitandani hospitali ya zanzibar na pia akiingizwa kwenye ambulance kupelekwa hospitali ya kidimni lakini bado unabisha. Wacha kuwa bichwa maji na ubishi usio na kichwa wala miguu.
 
Waziri wa mambo ya wengine i guess maana sijamsikia kitambo sana tangu atoke kule aliendaga kujitetea...!!
 
Hebu kwanza rudia nilichosema awali kabla ya kuanza kutaka kuanza kubishana bila ya sababu. Nilichosema ni kuwa hakuna RAIS wa zanzibar atakaeweza kumtoa Mahmood Thabit Kombo katika baraza la mawaziri Zanzibar kwa sababu amevaa koti la baba yake.

Pia kumbuka tu kuwa hakuna rais wa Zanzibar aliyethubutu kumuondosha Thabiti Kombo katika baraza la mapinduzi au kumtoa katika MBM (Memba wa Baraza la Mapinduzi). Alikuwa waziri asokuwa na wizara maalum (kwa maana ya kuwa hana wizara lakini ni waziri mwenye nguvu zaidi katika baraza la mawaziri kuliko wenye wizara) kwa miaka mingi tu. Alomuondosha Thabiti kombo duniani ni Allah sio rais yeyote wa Zanzibar.


Time will tell , hiyo haijaandikwa kitabu chochote si Quran wala biblia. Tena si yeye tu hata hao vibaraka wengine wataondoka tu , Hawawezi kuhatarisha maisha ya watu wote including ya familia yake eti baba yake alikuwa mkubwa : Dunia inabadilika . Corona itabadilisha kila kitu , utakuja kunikumbuka, tena muda mchache ujao
 
Mimi naona Mali Yake yote itaifishwe isaidie kuwahudumikiaa wagonjwa wa korona, kwa sababu tuu ali kuwa mkaidii wa kutii amri. Watu wengi sana saivi wapo katika hatari.
 
Back
Top Bottom