wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Huu ugonjwa si bure, ni adhabu. Sasa hata aumwe rais, atatibiwa hapa hapa nchini maana hakuna nchi itakayopokea mgonjwa wa corona kutoka taifa jingine. Sasa ndio wataona umuhimu wa kuboresha sekta za afya na kuhakikisha hospital zinavifaa vya kutosha!
Hii ni moja ya funzo kubwa sana,itapendeza pia ikwacharaza watunga sera na watekelezaji wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni moja ya funzo kubwa sana,itapendeza pia ikwacharaza watunga sera na watekelezaji wake.
Sent using Jamii Forums mobile app