Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Yaani ni hatari kwa kuwa Waziri ameugua? Kuna Waziri Mkuu wa Uingereza naye ameugua!
Yaani ni hatari kwa kuwa Waziri ameugua? Kuna Waziri Mkuu wa Uingereza naye ameugua!
Acha ujinga huelewi au?? Waziri wa uingereza wameiweka siri taarifa zake?

Je amekaidi kuvaa mask Boris?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…