Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Aisee du!

Najaribu kuangalia hapa sipati jibu

ET4AOIPWAAAC8Tv
 
Pascal tatizo la corona ni kubwa na linapaswa kusemwa kwa uzito unaolistahili. Baadhi ya watu wanaouma na kupuliza ni wewe, leo pale star tv wewe na mwenzako bulembo mlikua mnasifu namna linavyokua handled hadi ukamuangalia meena kwa jicho baya aliposema huu ni moto inabidi usemwe badala ya kuongelea cheche. Nyie mnasema waandishi badala ya kiandika madhara makubwa yanayotokea huko china, itary na spain walipaswa waongelee nchi zisizokua na maambukizi. Acheni kuuma kupuliza hili ni janga na kama usemavyo mficha maradhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukichukua tukio la wale waliopelekwa hoteli za bei ghali (karantini) wakarundikwa bila utaratibu wakachangamana na wageni waliowakuta UKAJUMLISHA na hii tetesi UKAJUMLISHA na takwimu za VoA zinazotofautiana na za wizara unaweza kuhitimisha kwamba tunatumia pesa za mwenge kukimbiza mwenge ingawa mwenge umehifadhiwa.
 
Back
Top Bottom