Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

March 28, 2020

Taarifa za habari usiku wa leo, Zanzibar raia mmoja wa Tanzania aliyewasili tarehe 22 March 2020 akitokea Uingereza vipimo vyake vimethibitika kuwa na coronavirus. Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh. Hamad Rashid Mohamed amethibitisha hilo wakati akitoa taarifa juu ya idadi ya wagonjwa waliothibitika mpaka sasa kuwa na virusi vya coronavirus


Source : ITV Tanzania
 
March 28, 2020

Taarifa za habari usiku wa leo, Zanzibar raia mmoja wa Tanzania aliyewasili tarehe 22 March 2020 akitokea Uingereza vipimo vyake vimethibitika kuwa na coronavirus.

Kuna mambo mengine hakuna haja ya kuyaficha. Huu ugonjwa utakuja kutuangamiza due to our own ignorance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Kabudi yuko wapi? Angekuwa mstari wa mbele katika mapmbano haya. Na juzi nimemuona Balozi Kairuki akitoa taarifa ambayo kimsingi ilitakiwa itolewe na Wachina wenyewe au na Waziri wetu wa Mambo ya Nje.
[emoji3]☻[emoji40]
Makonda tafadhali waokoe Watz kwa kumtaja hadharani ili tujiadhari nae.
 
Waziri wa Arthi Smz inasemekana Yuko hali mbaya na maybe na covid19 ..baada ya kutoka UK hivi majuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…