SeliSelina
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 289
- 710
Nadhani Pascal kafahamu nilivyokusudia, muulize au chemsha bongoAgizo gani bwashee?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Pascal kafahamu nilivyokusudia, muulize au chemsha bongoAgizo gani bwashee?!
Kwani akiugua korona wewe inakuhusu nini
Ahh okkSasa hivi p Haogopi kishapata kazi star tv Lumumba haendi tena
Wewe yule mama ana macho makubwa wapi, ni waziri kule visiwani na wameshamtoa kapelekwa kwa wagonjwa wenzie huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Dizaini hizo ndio wale wanaopata ukimwi wakatafuta wenzao wakuwaambukiza akibainika afunguliwe mashtaka ya jinai maana ni muuaji!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SawaLabda kwa sababu anavaa miwani ndo maana huyaoni. Sijui atakuwa ameambukiza wangapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani akiugua korona wewe inakuhusu nini
Dizaini hizo ndio wale wanaopata ukimwi wakatafuta wenzao wakuwaambukiza akibainika afunguliwe mashtaka ya jinai maana ni muuaji!
Kuna mambo mengine hakuna haja ya kuyaficha. Huu ugonjwa utakuja kutuangamiza due to our own ignorance.March 28, 2020
Taarifa za habari usiku wa leo, Zanzibar raia mmoja wa Tanzania aliyewasili tarehe 22 March 2020 akitokea Uingereza vipimo vyake vimethibitika kuwa na coronavirus.
Pascal Mayalla nakushauri futa huu uzi. Kama ulipokonyoka ktk line ya akina Kabendera hapa utanasa. Ni ushauri tuu maana umetafutiwa target muda mrefu.
[emoji3]☻[emoji40]Hivi Kabudi yuko wapi? Angekuwa mstari wa mbele katika mapmbano haya. Na juzi nimemuona Balozi Kairuki akitoa taarifa ambayo kimsingi ilitakiwa itolewe na Wachina wenyewe au na Waziri wetu wa Mambo ya Nje.
Acha kutisha tisha watu wewe..hayo matendo yenu msifikiri watu wana ya ogopa ila ni kwamba inatafutwa njia mbadala wa kuyakabili ni suala la muda tu.