Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Nna jaribu tu kuwaza kama ni kweli amesha waambukiza Watu wangapi kwa ukaidi wake.Kutii Sheria kwa Afrika hii ni kwa Wanyonge tu lakini kwa wakubwa mmh hapana.

Hili Tatizo mna lifungia Macho ,ipo Siku litabisha Hodi Miguuni kwenu.

Aliingiaje Airport? Je, hakupima?Je, kwanini hajakwenda kwenye Isolation Hotels za Makonda kule Kigamboni??? Nataka Makonda mtoto wa Baba Jesca atuambie na hili la Waziri ASIYEJULIKANA...! Mbona la Mbowe kalishadadia akidai ni kuwaokoa Watz wa Dar na Covid-19???
 

Ah! Kumbe Ni TETESI.......!!!Paskali bhana unajua kucheza na akili za watu...!!
 
Tatizo letu waafrica hasa wa Tanzania, tunapenda tukiugua tuwaambukize na wenzetu. Mtu unajijua unaumwa, unawabishia mpaka watu wanokuhudumia? Dawa yake, wamsubilia COVID-19 atafute mapafu, wamuweke kwenye Vent, Kisha mmoja akabofye kitufe Cha Off.
 
Naskia ni Mkojaaaanii wa nchi ya Visiwano
Unaanza kufungua code utaishia jela!!
Telegram huko nasikia kumechafuka wala sio siri lakini inabidi iwe siri hapa JF kukwepa mkono wa sheria.

Hii ni kama mbuni kuficha kichwa kwenye mchanga akidhania kajificha huku mwili wote uko nje.
Hakuna siri ya watu wawili, wauguzi na madaktari nao ni binadamu, wanaogopa kifo na wanafamilia wakiona wanawekwa hatarini wana mwaga mboga.

Huu usiri ndio mabeberu wanapata upenyo wa kusema Madagascar wanaficha taarifa za magonjwa ya mlipuko hivyo ni nchi inayo hatarisha raia wa nchi za mabeberu.
 

Mkuu. These are very serious allegations and if they are true, they are simply unpardonable. Nobody is bigger than Tanzania and the safety of its people. I hope the truth will come out sooner.

Tunakumbushwa na story ya padre wa Kenya. Alipita hapo. Italy. Akaja huko Afrika ya kusini then akaenda Kenya. Akijua kabisa kuwa alikuwa exposed kwa COVID-19. Akawa very Social bila hata Chembe ya huruma.

I just hope it’s not true.
 
Nna jaribu tu kuwaza kama ni kweli amesha waambukiza Watu wangapi kwa ukaidi wake.Kutii Sheria kwa Afrika hii ni kwa Wanyonge tu lakini kwa wakubwa mmh hapana.

Hili Tatizo mna lifungia Macho ,ipo Siku litabisha Hodi Miguuni kwenu.
Ndio cabinet members wengine wamekimbia jiji
 
Prof wa rubbish pit au?

Kama ni kweli basi huo ni ulimbukeni tu, ingekuwa kipindupindu labda ndiyo fedheha.

Ngoja tumsubiri Makonda atutangazie!
Makonda alishaambiwa na Ummy
Aache kuropoka majini ya watu ovyo. Nadhani somo limemuingia
 
Ewe Paulo Makonda, wewe ndio mkombozi wetu, tunakuaminia. Wewe ndio WHISTLEBLOWER wa wale wanaoficha wagonjwa wa KORONA. Ulimuumbua Mbowe alipoficha kwamba mwanae anaugua korona. Hukujali mashambulizi toka kona mbalimbali, hata ukadiriki kuvunja sheria za maadili ya kitabibu, kwa kutaja jina la mgonjwa. Pia ukavunja protokali ya utangazaji wa wagonjwa wa korona. Na ukatamka kwamba wewe ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa mkoa wetu Dar. Sasa kwa kutumia shoka hilo hilo lililomvua nguo Mbowe na kuvuruga njama zake za kuteketeza watu, tuambie kwanza huyo mgonjwa ni nani na ufichue njama alizopanga kufanya maangamizi. Utakuwa umeokoa watu wengi na wala usipepese macho katika hili.. TUNAKUAMINIA MAKONDA WETU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…