The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
HakkaYaan serikali inajitahid kuipambania dodoma kwa kuwa ni katikati ya nchi ila bado mkoa ambao hauna frusa za kiuchumi ni ngumu sasa kukua kiuchumi
Endelea kujifariji mkuu ππ.Yaan serikali inajitahid kuipambania dodoma kwa kuwa ni katikati ya nchi ila bado mkoa ambao hauna frusa za kiuchumi ni ngumu sasa kukua kiuchumi
Rejea ripoti ya ujenzi wa Majengo..1.Msalato International Airport U/C max pax 1.5M annually
2.Dodoma outer ring road 112Km dualcarriage way
3.Mtumba government city
4.inner ring roads U/C
5.SGR Ishafika Dodoma bado tu kutumika
6.Planning ya mji iko vizuri sana kwa Dodoma mji unakua kwa weledi sio kila mtu anajijengea anavyotaka unlike Mwanza
Dodoma kabla ya 2025 itakua smart city yenye miundombinu ya kisasa sana, Mwanza mmebaki na miamba ya asili na stand ya mabasi nyegezi
Mwaka 2025[emoji116]1.Msalato International Airport U/C max pax 1.5M annually
2.Dodoma outer ring road 112Km dualcarriage way
3.Mtumba government city
4.inner ring roads U/C
5.SGR Ishafika Dodoma bado tu kutumika
6.Planning ya mji iko vizuri sana kwa Dodoma mji unakua kwa weledi sio kila mtu anajijengea anavyotaka unlike Mwanza
Dodoma kabla ya 2025 itakua smart city yenye miundombinu ya kisasa sana, Mwanza mmebaki na miamba ya asili na stand ya mabasi nyegezi
Majengo ya dodoma yanathamani kubwa kwasababu yanajengwa kwa kufuata mipango miji...nyie mnajijengea tu ilimradi hakuna lolote la maana ukoRejea ripoti ya ujenzi wa Majengo..
Mwanza majengo yanayojengwa ni 64000 vs dodoma 40000 ...gap la majengo 20000 ..huo Ukuaji unaouzungumzia umeupta wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo miradi ni mingap ipo katika hatua za utekelezaji yani ambayo tayari imeanza kujengwa?Mwaka 2025[emoji116]
Serengeti international airport with terminal 1.5 milion passenger capacity
Daraja la busisi km 3
Bypass airport to nyaguge km 40 .
Nyerere road dual carriage to nyaguge km 35
Kenyata road dual carriage km 55
buhongwa bypass km 15
Mkuyuni bypass km 10
SGR isaka with viaduct of 1.4 km and inland port of fela
Tampere park
Mkuyuni fish market
Mirongo river rehabilitation
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati train za mwendokasi zishaanza kuchakaa ndio zitafika mwanza, minds you 10th of Nov train zinakuja na zitakua zinapiga route ya dar Hadi dodoma...Nyie ndio mnajenga tuta pande izo...Tabora isaka bado hata mradi haujaanzaMwaka 2025[emoji116]
Serengeti international airport with terminal 1.5 milion passenger capacity
Daraja la busisi km 3
Bypass airport to nyaguge km 40 .
Nyerere road dual carriage to nyaguge km 35
Kenyata road dual carriage km 55
buhongwa bypass km 15
Mkuyuni bypass km 10
SGR isaka with viaduct of 1.4 km and inland port of fela
Tampere park
Mkuyuni fish market
Mirongo river rehabilitation
Sent using Jamii Forums mobile app
maendeleo ya majengo ya ofisi za wizara tuite maendeleo nayo, leta fursa za kibiashara zilizopo dodoma tulinganishe na Mwanza.Majengo ya dodoma yanathamani kubwa kwasababu yanajengwa kwa kufuata mipango miji...nyie mnajijengea tu ilimradi hakuna lolote la maana uko
Kingine ni kwamba Dodoma haihitaji watu wengi sana maana sio mji mkuu wa kibiashara kama Mwanza...Ila mnapigwa sana kwenye maendeleo
Yote ipo kwenye hatua za utekelezaji....au unataka pichaIyo miradi ni mingap ipo katika hatua za utekelezaji yani ambayo tayari imeanza kujengwa?
[emoji28][emoji28][emoji28]eti nyumba za NHC nazo Zina thaman kubwaMajengo ya dodoma yanathamani kubwa kwasababu yanajengwa kwa kufuata mipango miji...nyie mnajijengea tu ilimradi hakuna lolote la maana uko
Kingine ni kwamba Dodoma haihitaji watu wengi sana maana sio mji mkuu wa kibiashara kama Mwanza...Ila mnapigwa sana kwenye maendeleo
Kwa kweli Dodoma ni pagumu sana labda uwe mtumishi wa Serikali angalauYaan serikali inajitahid kuipambania dodoma kwa kuwa ni katikati ya nchi ila bado mkoa ambao hauna frusa za kiuchumi ni ngumu sasa kukua kiuchumi
Rejea ripoti ya ujenzi wa Majengo..
Mwanza majengo yanayojengwa ni 64000 vs dodoma 40000 ...gap la majengo 20000 ..huo Ukuaji unaouzungumzia umeupta wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu majengo yanayoendelea na ujenzi Katika hatua mbalimbali mwanza imeipiga chin had DarππππRejea ripoti ya ujenzi wa Majengo..
Mwanza majengo yanayojengwa ni 64000 vs dodoma 40000 ...gap la majengo 20000 ..huo Ukuaji unaouzungumzia umeupta wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Central Business District or City Center
Mji usio na bahari wala Ziwa ni michosho tu. Hivi Dodoma weekend wanakwenda kuenjoy wapi ? Hakuna beach wala zoo ni mitunduru na vumbi kwa kwenda mbele. Mji gani huo wa kuishi ? Pole sana.Chuo chenye hadhi ya Makao Makuu ya Nchi,UDOM [emoji116]
BangiUjinga