Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unaelewa maana ya neno investment?

Kuwa tuu Capital City tayari ni fursa ndio maana kuna investment..

Hayo ya sijui serikali mara wenyewe ni blaa blaa zisizo na mwingi.

Kwani umeambiwa Kuna siku investment utakoma kufanyika? Iwe ya serikali au sekta binafsi?
Tuambie investment zilizoko Dodoma
 
Nimekwambia kuwa tuu Capital City ni fursa tosha usiwe mjinga..

Kwa hiyo serikali inafanya investment tembo mweupe au?

Nianze kukuambia kwani wewe huoni na hujui Cha kufanya? Kwanj hujui Dom kuna watu wenye kipato cha uhakika wengi ambao ni spenders zaidi?
Wewe mtu wa porini huko Sumbawanga utajua nini mambo ya mjini. Endelea kula nguruwe pori. Mambo ya majiji tuachie wenyewe
 
Mnapotoa takwimu.mtoe kikamilifu [emoji116][emoji116].MWANZA ya pili Kwa Majengo,ya kwanza Kwa ujenzi [emoji116]
20221102_220921.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jitu linaishi Sumbawanga huko. Hata hiyo Dom haliijui

Limemkuna Ukweli ni kwamba Nguvu kubwa ambayo serikali inaitumia ili dodoma ionekane ni makao makuu ya nchi inaumiza wananchi wengine serikali inatumia gharama kubwa kupambana na jangwa wakati kuna mikoa mingi isingetumia nguvu kubwa mkoa ungezalisha mapato mengi kuliko kungangania dodoma, Mfano Mwanza,Morogoro,iringa Mbeya utapata chakula cha kutosha ,mbao ,mifugo ,samaki dagaa vyakula vya kutosha madini
 
Ivi watu wanaoilinganisha mwanza na dodoma wanaakili kweli nawasiwasi na akili zao
JIJI LA MWANZA :-
1-Kuna MIGODI YA MADINI MIKUBWA MITATU na migodi bubu kama yote
2-Ziwa victoria chanzo cha mto NILE wamisri wanipiga pesa kwa kumia huu mto ambao chanzo chake ni mwanza Dagaa wa mwanza mkoa gani hazipo zimekua mkombozi wa familia nyingi za kitanzania SATO samak mwenye heshima Tanzania nzima nenda hotel yoyote uone sato alivyo jibrand Sangara ana bondo ndani ya tumbo lake lenye thamani kuliko samaki mwenyewe BONDO NI KAMA DHAHABU kwa ufupi tu bondo ndio linatengeza nyuzi za kushonea wakati wa oparation mahosptal zote duniani
3-Vyakula vingi sana na vyote vinazalishwa ndani ya mkoa huska haku hakuna cha mchele wa mbeya
4-Usafiri mwanza hakuna njia kubwa isiyo na daladala sio bajaji daladala la abiria
5-BIASHARA ni kubwa mno kwanza muingiliano wa watu ni mkubwa sana Kuna MIKOA MINGI na WILAYA KUBWA zinaitegemea mwanza mfano shinyanga kahama katoro chato kibondo kasulu kigoma mjini msingwi bukoka katoro chato musoma sirari simuyu kakonko nyakanazi geita ukerewe jaman nimechoka kutype na mingineyo

SO TUBISHANE KWA FACT mkoa unajulikana kwa kuzalisha zabibu tu iacheni MWANZA IJAYO
IMG_1550.jpg
 
Mji usio na bahari wala Ziwa ni michosho tu. Hivi Dodoma weekend wanakwenda kuenjoy wapi ? Hakuna beach wala zoo ni mitunduru na vumbi kwa kwenda mbele. Mji gani huo wa kuishi ? Pole sana.
Wanaenda ku enjoy kwenye buttucks zako mkuu wanakupa hii kitu 👇
 
Attachments

  • 20220216_225742.jpg
    20220216_225742.jpg
    22.8 KB · Views: 7
Mnapotoa takwimu.mtoe kikamilifu [emoji116][emoji116].MWANZA ya pili Kwa Majengo,ya kwanza Kwa ujenzi [emoji116]View attachment 2405386

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakazi wa Dar,Arusha, Kilimanjaro na Tanga wengi wao wanaishi kwenye nyumba za ghorofa zikiwemo apartments..

Yaani inajivunia kuishi kwenye vijumba takataka vya tembe mlivyorundika huko mabatini,kirumba,mwananchi,NHC,butimba na uswazi mwingine kama huo..?
 
Ivi watu wanaoilinganisha mwanza na dodoma wanaakili kweli nawasiwasi na akili zao
JIJI LA MWANZA :-
1-Kuna MIGODI YA MADINI MIKUBWA MITATU na migodi bubu kama yote
2-Ziwa victoria chanzo cha mto NILE wamisri wanipiga pesa kwa kumia huu mto ambao chanzo chake ni mwanza Dagaa wa mwanza mkoa gani hazipo zimekua mkombozi wa familia nyingi za kitanzania SATO samak mwenye heshima Tanzania nzima nenda hotel yoyote uone sato alivyo jibrand Sangara ana bondo ndani ya tumbo lake lenye thamani kuliko samaki mwenyewe BONDO NI KAMA DHAHABU kwa ufupi tu bondo ndio linatengeza nyuzi za kushonea wakati wa oparation mahosptal zote duniani
3-Vyakula vingi sana na vyote vinazalishwa ndani ya mkoa huska haku hakuna cha mchele wa mbeya
4-Usafiri mwanza hakuna njia kubwa isiyo na daladala sio bajaji daladala la abiria
5-BIASHARA ni kubwa mno kwanza muingiliano wa watu ni mkubwa sana Kuna MIKOA MINGI na WILAYA KUBWA zinaitegemea mwanza mfano shinyanga kahama katoro chato kibondo kasulu kigoma mjini msingwi bukoka katoro chato musoma sirari simuyu kakonko nyakanazi geita ukerewe jaman nimechoka kutype na mingineyo

SO TUBISHANE KWA FACT mkoa unajulikana kwa kuzalisha zabibu tu iacheni MWANZA IJAYOView attachment 2405425
Hivi kwenye slums kama hii ya Mlimani unafikaje kwenye mabanda yenu hayo maana sioni mtaa Wala barabara ,😁😁.

Linganisha mapato ya Majiji hapa ndio uje na takataka zako za kujifariji 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-064746.png
    Screenshot_20221103-064746.png
    47.7 KB · Views: 6
Wakazi wa Dar,Arusha, Kilimanjaro na Tanga wengi wao wanaishi kwenye nyumba za ghorofa zikiwemo apartments..

Yaani inajivunia kuishi kwenye vijumba takataka vya tembe mlivyorundika huko mabatini,kirumba,mwananchi,NHC,butimba na uswazi mwingine kama huo..?
[emoji16][emoji16][emoji16] vyenye mwanza hata huijui ,,,Kuna mtaa upi unaitwa NHC ,,,hyo mwananchi Kuna uswazi wapo...uko unakadiria tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu hakina ubishi Dodoma ni mji unakuwa haraka kuliko miji mingine na hii sio suala la Mwanza zaidi ya Dodoma au Dodoma zaidi ya Mwanza hapana ila kitu kimoja hakina ubishi katika kukuwa haraka Dodoma kunakuwa haraka hii ina maana soon wataipiku Mwanza leo hii Dodoma iliyokuwa na watu Million sijui wamezidiwa kama laki 4 tu hivi na Mwanza number zao hazibadiliki, pia kuna miradi mingi mipya Dodoma kuliko Mwanza miaka 3 kutoka sasa tutakuja kukumbushana hapa. Wasukuma wengi siku hizi wako Dodoma hii dalili ya fursa zipo. Swali la kujiuliza miaka 5 nyuma Mwanza ilikuwa wapi na Dodoma ilikuwa wapi na leo ziko wapi? kasi % utakayopata ndio mwelekeo wa mbele soon.
 
Kwa hiyo ule mtaa wa National kwa nini unaitwa hivyo?

Basi nakuongezea slum nyingine ni Buzuruga [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kama hujawahi fika mwanza ..njoo tu. Nauli 60 Toka huko kwenu ...
Buzuruga, national hamna uswazi ,, Tena huwezi linganisha na mitaa kama unga ltd ,sinoni,kilombero ,au mbauda ....ni maeneo classic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ambayo yanafanyika Dom watu wa Mwanza wakiona lazima wanune 👇
Dodoma baada ya 4 years toka sasa itawaacha wengi tu hiyo population tu zamani Mwanza walikuwa wanawazidi Dodoma zaidi ya watu million 2 na zaidi leo laki 4 tu hiyo dalili watu wanakuja sababu fursa zipo Mwanza wamedumaa wanadhani watabaki na ile status jiji la pili milele wakishtuka watu wanawaacha soon.
 
Kama hujawahi fika mwanza ..njoo tu. Nauli 60 Toka huko kwenu ...
Buzuruga, national hamna uswazi ,, Tena huwezi linganisha na mitaa kama unga ltd ,sinoni,kilombero ,au mbauda ....ni maeneo classic

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Buzuruga sio uswazi basi una shida mahala,pale tuu ile stand ya Musoma ilipo ni uswazi tosha..

Tufanye hakuna uswazi vipi pale Mwanza South,mitaa yenye bandari kurudi nyuma kabla ya Kufika njiapanda ya Pasiansi ni full uswazi yaani na matakataka kila sehemu 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom