Kwa taarifa yako hii hapa ndio accurate.figure ya population ya mwanza pamoja na growth rate yake ..we endelea kusubiri makarani
View attachment 2405506
Sent using
Jamii Forums mobile app
Unajaribu kuleta source za kutunga. Ili kujifariji si ndio? 😄😄😄😄😂😂😂😂.
Umenichekesha Sana Leo Mzee, Takwimu zako za uchochoroni kamsimulie mkeo na mandezi wenzio.
Sasa kwa taarifa yako Takwimu Halisi kutoka NBS Hali ya mambo iko hivi..
Ongezeko la Idadi ya Watu Mwanza.
2012 =2,772,509,
2022=3,699,872
Difference in Increase =927,363..
Linganisha na ongezeko la watu Dodoma Sasa,
2012=2,083,588,
2022=3,085,625,
Difference in Increase ni watu =1,002,037 ..
Conclusion Dom growth rate=2.7% vs Mwanza growth rate=2% 😂😂😂😂.
My Take.
Kwa kuwa land price ya Mwanza Mjini iko na bei ghali Sana sababu eneo ni dogo na Dom land price iko na bei nafuu bila Shaka ongezeko la Watu kwa Mwanza limetokea zaidi huko Wilayani kuliko Mjini na Kwa Dodoma ongezeko limetokea Mjini zaidi kuliko Wilayani..
Hivyo basi si ajabu Mwanza Jiji kuwa na watu 900k na Dodoma Jiji kuwa na watu 700k..
Na kwa growth rate hiyo ni Wazi by 2032 Dodoma itakuwa na watu wengi kuliko Mwanza au watalingana isipokuwa tofauti ni kwamba Dom itapata wanaohamia wengi wenye uwezo na Mwanza iatapata wanaozaliwa wengi wao maskini..
Upinge,unune huu ndio ukweli mchungu.