Ivi watu wanaoilinganisha mwanza na dodoma wanaakili kweli nawasiwasi na akili zao
JIJI LA MWANZA :-
1-Kuna MIGODI YA MADINI MIKUBWA MITATU na migodi bubu kama yote
2-Ziwa victoria chanzo cha mto NILE wamisri wanipiga pesa kwa kumia huu mto ambao chanzo chake ni mwanza Dagaa wa mwanza mkoa gani hazipo zimekua mkombozi wa familia nyingi za kitanzania SATO samak mwenye heshima Tanzania nzima nenda hotel yoyote uone sato alivyo jibrand Sangara ana bondo ndani ya tumbo lake lenye thamani kuliko samaki mwenyewe BONDO NI KAMA DHAHABU kwa ufupi tu bondo ndio linatengeza nyuzi za kushonea wakati wa oparation mahosptal zote duniani
3-Vyakula vingi sana na vyote vinazalishwa ndani ya mkoa huska haku hakuna cha mchele wa mbeya
4-Usafiri mwanza hakuna njia kubwa isiyo na daladala sio bajaji daladala la abiria
5-BIASHARA ni kubwa mno kwanza muingiliano wa watu ni mkubwa sana Kuna MIKOA MINGI na WILAYA KUBWA zinaitegemea mwanza mfano shinyanga kahama katoro chato kibondo kasulu kigoma mjini msingwi bukoka katoro chato musoma sirari simuyu kakonko nyakanazi geita ukerewe jaman nimechoka kutype na mingineyo
SO TUBISHANE KWA FACT mkoa unajulikana kwa kuzalisha zabibu tu iacheni MWANZA IJAYO
View attachment 2405425