Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

No caption [emoji91][emoji91]
1666024418772.jpg
1666024554574.jpg
20221017_195546.jpg
20221017_200257.jpg
20221017_200011.jpg
 
[emoji445][emoji445][emoji443][emoji443]Kizz Daniel ft tekno .BUGA [emoji344][emoji344][emoji344][emoji443][emoji444][emoji444][emoji444]...mwanza now[emoji867][emoji8]
70cf941bc59fb3eeab55ae1bf2151bd9.jpg
a410a71e3045a9f031b2081477302264.jpg
 
emoji445.png
emoji445.png
emoji443.png
emoji443.png
Kizz Daniel ft tekno .BUGA
emoji344.png
emoji344.png
emoji344.png
emoji443.png
emoji444.png
emoji444.png
emoji444.png
...mwanza now
emoji867.png
emoji8.png
View attachment 2390381View attachment 2390382
Hv hii meli na Mv
[emoji445][emoji445][emoji443][emoji443]Kizz Daniel ft tekno .BUGA [emoji344][emoji344][emoji344][emoji443][emoji444][emoji444][emoji444]...mwanza now[emoji867][emoji8]View attachment 2390381View attachment 2390382
Hii meli itakuwa ya kitalii ina ukumbi wa kuchukua watu 400 so watu wanaweza kufunga ndoa kwny meli😄😄😄
 


Dodoma mambo vip [emoji867][emoji867][emoji867] ..ingia hapo ucheki jiji la mfano
 
Wakati Mwanza mnashangilia stand,Dom inashangilia huduma Bora kabisa za afya hapa Benjamin Mkapa Hospital 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221018-122931.png
    Screenshot_20221018-122931.png
    261.8 KB · Views: 11
Chuo chenye hadhi ya Makao Makuu ya Nchi,UDOM 👇
 

Attachments

  • IMG_7977.jpg
    IMG_7977.jpg
    44.8 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221018-123002.png
    Screenshot_20221018-123002.png
    255.2 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221018-122958.png
    Screenshot_20221018-122958.png
    255.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221018-122945.png
    Screenshot_20221018-122945.png
    257.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221018-122941.png
    Screenshot_20221018-122941.png
    242.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221018-122936.png
    Screenshot_20221018-122936.png
    274.4 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221018-122854.png
    Screenshot_20221018-122854.png
    264.2 KB · Views: 15
Ukitoa muhimbili kuna hospitali gani hapa Tanzania inaweza ikaribia Hospital ya bugando kwa kutoa huduma mbalimbali za kibingwa na kibobezi.
*Bado mnasafari
Bugando inajenga cardiac institute
Benjamin Mkapa Hospital ambayo inafanya hadi oparesheni za moyo,nk

Bugando hakuna.
 
Mnachiahindwa kuelewa ni kwamba Dodoma kwa kiwango kikubwa inajengwa na serikali tofauti na mwanza .Mwanza inajengwa na wananchi wake na wafanya biashara chagua mkoa kati ya dodoma na mwanza ni wapi unaweza kutoboa kibiashara kilimo uone utaenda wapi mkoa wa dodoma chanzo cha mapato sijui ni zabibu hata siielewi kabisaa
 
Mnachiahindwa kuelewa ni kwamba Dodoma kwa kiwango kikubwa inajengwa na serikali tofauti na mwanza .Mwanza inajengwa na wananchi wake na wafanya biashara chagua mkoa kati ya dodoma na mwanza ni wapi unaweza kutoboa kibiashara kilimo uone utaenda wapi mkoa wa dodoma chanzo cha mapato sijui ni zabibu hata siielewi kabisaa
Ujinga
 
Back
Top Bottom