Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
No excuse hapa ....Leo huchomoki ....hatuna haja na hadithi. Zako dOzi haijakutosha[emoji116][emoji116]...Mwanza ni aibu tupu,huto tujengo tumesungukwa na mauchafu disorganized City [emoji51][emoji51]..
Huwezi nikuta naisha kwenye miji ya kifala.kama Mwenza Mji kama zizi la ng'ombe [emoji23][emoji23]..
Mwanza na Mbeya no difference kabisaa.
Shopping center.. ilemela mwanza . Dodoma mna nini tofauti na shopper's [emoji16][emoji16][emoji16]