Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Amazing natural landscape...[emoji91][emoji7]..sato-rini city[emoji116]
20221015_214704.jpg
20221015_214710.jpg
 
...
Siku dodoma ikifika hapa [emoji116].nitag huku hamna outdated uniform housing .kama kota za NHC kisasa... private investment is on [emoji91]
Ujenzi wa flats /residential apartment [emoji116][emoji116]...jiji la sato rini aka rock city View attachment 2388326View attachment 2388327
Nimeipenda hii naweza kuichukua kwa mahitaji yangu ya baadae.
 
Chelezo kubwa Africa mashariki.....meli zote za ziwa Victoria zitakuwa zinajengwa hapa[emoji116][emoji116]
PSX_20221015_223311.jpg
 
The future is bright..........sensa inaenda kutoa majibu ya wapi resources za taifa zinatakiwa zielekezwe Kwa wingi ...[emoji116][emoji116][emoji116] upanuzi wa barabara ya kenyata km 25 dual carriage...View attachment 2388419View attachment 2388420
TANZAM yote kutoka Igawa hadi Tunduma.itakuwa dual carriage way km 272 sembuse huto tu km 25? 😁😁
 
Wivu tu😅😅😅😅😅😅😅
Yaani mimi nione wivu wa km 25 wakati kuna km 218 zinakuja? Si ntakuwa kichaa kama wewe Sasa 😬😬..

Soma taratibu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221015-225459.png
    Screenshot_20221015-225459.png
    140.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221015-225513.png
    Screenshot_20221015-225513.png
    49.1 KB · Views: 12
Yaani mimi nione wivu wa km 25 wakati kuna km 218 zinakuja? Si ntakuwa kichaa kama wewe Sasa [emoji51][emoji51]..

Soma taratibu [emoji116]
Naona inyala na igawa ni dodoma eti [emoji16][emoji16][emoji16]tulia baba....bado amodiakwini haijakaa vizuri kwenye damu[emoji116]
MAPATO YA TRA mbeya imechakazwa mbali mno na shinyanga.....,,[emoji16][emoji16][emoji16]
PSX_20221013_211852.jpg
 
Naona inyala na igawa ni dodoma eti [emoji16][emoji16][emoji16]tulia baba....bado amodiakwini haijakaa vizuri kwenye damu[emoji116]
MAPATO YA TRA mbeya imechakazwa mbali mno na shinyanga.....,,[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2388491
Ingia website ya TRA waambie wafanye update waweke taarifa za 2021/2022..

Shinyanga hapo ni migodi ndio inawasaidia tofauti na hapo hamna kitu,pesa yote anakula Mzungu 😁😁
 
Thamani ya huu mradi mmoja. Ni sawa vimiradi vyote vya hapo ugogoni.....
[emoji116]..maana halisi ya kutengeneza hub ya maziwa makuu ni hii[emoji116][emoji116]
1665929238955.jpg
1665929474791.jpg
1665929450503.jpg
 
Nyie watu wa Dodoma kwenye mradi wa reli Dar es salaam kuna daraja la juu la km 2.3 mwanza watajenga km 1.5 na tyr maandalizi yameanza je Dodoma mna daraja la juu km?😄😄😄 au mnasubir mji wa mtumba mpk ukue
 
Nyie watu wa Dodoma kwenye mradi wa reli Dar es salaam kuna daraja la juu la km 2.3 mwanza watajenga km 1.5 na tyr maandalizi yameanza je Dodoma mna daraja la juu km?[emoji1][emoji1][emoji1] au mnasubir mji wa mtumba mpk ukue
[emoji13][emoji13][emoji13]watu wapo site na bati tayari zimepigwa
 
Back
Top Bottom