The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Unaelewa maana ya neno investment?wewe mwenye akili tuambie dodoma ina fursa gani kuzidi Mwanza?
Kuwa tuu Capital City tayari ni fursa ndio maana kuna investment..
Hayo ya sijui serikali mara wenyewe ni blaa blaa zisizo na mwingi.
Kwani umeambiwa Kuna siku investment utakoma kufanyika? Iwe ya serikali au sekta binafsi?