Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Isamilo... nyamagana
JamiiForums-1187298281.jpg
JamiiForums-1608632776.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza kuna nyumba nyingi za kienyeji hakuna v2 vya maana ,uanweza kuta izo nyumba laki 8 nusu ni za kienyeji
Hii ni Nyamongholo area sasa nyie endeleeni kupiga majungu wanaume wa Mwanza wanaendelea kufanya yao.
 
Attachments

  • 1658384717251.png
    1658384717251.png
    569.3 KB · Views: 19
Simiyu uchumi ni agriculture based 90 ..na taasisi zinazosimamia uchumi kuanzia bank, mamlaka za mapato, viwanda na masoko ,.viko bado shinyanga..
Zao la pamba ni chanzo kikubwa Cha uchumi wa simiyu ... wakulima wa bariadi ,maswa,meatu ,na itilima . wanahudumiwa na mamlaka za shinyanga....ni vigumu kuhesabu uchumi wa simiyu as a separate mpka wajengee taasisi za kusimamia uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo zisizo na msingi na za ki layman, taasisi Zikiwa Shinyanga ndio zinashindwa kutoa figure ya Simiyu?
 
Huyo jamaa analeta vijumba vinavyopatikana Buhongwa na Bulale au Buguku huko.
Wivu 😂😂😂😂.

Mwanza imejaa vijumba mshenzi kama hivi hapa karibu kila picha mnaweka lazima uone vijumba mshenzi kama hivi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221105-173826.png
    Screenshot_20221105-173826.png
    312.9 KB · Views: 17
Kwani ni uongo sio za NHc??Wana Dodoma huwezo wa kujenga nyumba hawana lazima wasahidiwe na serikali la sivyo Dodoma itaendelea kuwa pori la mibuyu na jangwa.
Wewe akili huwa huna,Kwa hiyo hizi hapa chini huwa unawajengea wewe au NHC? .

Ilazo Ext.👇
 
Attachments

  • Ilazo Ext.mp4
    7.2 MB

Attachments

  • Medeli.mp4
    2.3 MB
Hii ni Nyamongholo area sasa nyie endeleeni kupiga majungu wanaume wa Mwanza wanaendelea kufanya yao.
Sasa hapo kuna nini? 😁😁😄😄.Hivyo vi dreams houses mlivyoinua mabati juu kama mnakimbiza mawingu au?

The place we call The Capital City 👇
 
Attachments

  • Medeli 2.mp4
    9.5 MB
Hii ni Nyamongholo area sasa nyie endeleeni kupiga majungu wanaume wa Mwanza wanaendelea kufanya yao.
Nyumba za kawiada izo simejaa migombani uko moshi,sasa hapo ni mjini mhona barabara ni vumbi?
 
Nyumba za kawiada izo simejaa migombani uko moshi,sasa hapo ni mjini mhona barabara ni vumbi?
Hayo ni mawazo ya kimaskini kwenye ukweli kubali tu.Hizo nyumba kuwa migombani hakufanyi kuwa za kawaida.Ni kweli hata ukienda bukoba na karagwe zipo ila zitaendelea kuwa bora kiasi cha kila mpenda mafanikio natamani kuwa nazo.Unasema mjini,wewe unajua Nyamongholo ni kilometa ngapi kutoka mjini??.Kwataarifa hiyo nyamingholo ni mpakani kati ya Magu na ilemela yaani almost km20 toka CBD na km 30 kutoka airport.
 
Onyesheni vitu vya tofauti mmekua watu wa kulialia tu kila wakati.
Izo ni nyumba za kawaida hakuna maajabu hapo
 
Onyesheni vitu vya tofauti mmekua watu wa kulialia tu kila wakati.
Izo ni nyumba za kawaida hakuna maajabu hapo
Acha kupiga kelele za kijinga, sawa hizo nyumba ni za kawaida sasa wewe leta picha za hizo zenye maajabu kuliko hizi.Hapa ni picha tu sio maneno.
 
Acha kupiga kelele za kijinga, sawa hizo nyumba ni za kawaida sasa wewe leta picha za hizo zenye maajabu kuliko hizi.Hapa ni picha tu sio maneno.
Hizi hapa Michese Dodoma👇
 
Attachments

  • b1634948d9b540e5b79bfd79cc2a063d_314285963_204647701932200_4521517979175037953_n.mp4
    5.7 MB
Tena hiyo miji miwili ni michosho na hovyo kabisa, Moshi hakuna mji pale. Eti Arusha na Moshi ni far better kwa Mwanza ! Una akili kweli wewe au una akili za kuvutia mmea wa Arusha. Narudia tena siwezi kuishi mji wowote katika nchi hii kama hakuna bahari au ziwa.
Mwambie achukue hizo moshi na Arusha alinganishe na Dodoma.
 
Back
Top Bottom