Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 300
- 350
Kwani ni uongo sio za NHc??Wana Dodoma huwezo wa kujenga nyumba hawana lazima wasahidiwe na serikali la sivyo Dodoma itaendelea kuwa pori la mibuyu na jangwa.Mbona ziko nyingi sana humu na zikiwekwa mnalalamika kusingizia NHC 😆😆..
Nkonze👇
Hii ni Nyamongholo area sasa nyie endeleeni kupiga majungu wanaume wa Mwanza wanaendelea kufanya yao.Mwanza kuna nyumba nyingi za kienyeji hakuna v2 vya maana ,uanweza kuta izo nyumba laki 8 nusu ni za kienyeji
Acha porojo zisizo na msingi na za ki layman, taasisi Zikiwa Shinyanga ndio zinashindwa kutoa figure ya Simiyu?Simiyu uchumi ni agriculture based 90 ..na taasisi zinazosimamia uchumi kuanzia bank, mamlaka za mapato, viwanda na masoko ,.viko bado shinyanga..
Zao la pamba ni chanzo kikubwa Cha uchumi wa simiyu ... wakulima wa bariadi ,maswa,meatu ,na itilima . wanahudumiwa na mamlaka za shinyanga....ni vigumu kuhesabu uchumi wa simiyu as a separate mpka wajengee taasisi za kusimamia uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu 😂😂😂😂.Huyo jamaa analeta vijumba vinavyopatikana Buhongwa na Bulale au Buguku huko.
Wewe akili huwa huna,Kwa hiyo hizi hapa chini huwa unawajengea wewe au NHC? .Kwani ni uongo sio za NHc??Wana Dodoma huwezo wa kujenga nyumba hawana lazima wasahidiwe na serikali la sivyo Dodoma itaendelea kuwa pori la mibuyu na jangwa.
Fananisha na hapa uone unavyoaibika..Isamilo... nyamagana View attachment 2408840View attachment 2408841
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikeni kwanza hapa ndio tuendelee na battle vinginevyo tuanzishe battle ya Dom vs Arusha walau Chuga inaweza jitutumua ila Mwanza bado sana Kwa Dodoma 👇
Sasa hapo kuna nini? 😁😁😄😄.Hivyo vi dreams houses mlivyoinua mabati juu kama mnakimbiza mawingu au?Hii ni Nyamongholo area sasa nyie endeleeni kupiga majungu wanaume wa Mwanza wanaendelea kufanya yao.
Nyumba za kawiada izo simejaa migombani uko moshi,sasa hapo ni mjini mhona barabara ni vumbi?Hii ni Nyamongholo area sasa nyie endeleeni kupiga majungu wanaume wa Mwanza wanaendelea kufanya yao.
Sasa dawa imekuingia😂😂Wewe akili huwa huna,Kwa hiyo hizi hapa chini huwa unawajengea wewe au NHC? .
Ilazo Ext.👇
Hayo ni mawazo ya kimaskini kwenye ukweli kubali tu.Hizo nyumba kuwa migombani hakufanyi kuwa za kawaida.Ni kweli hata ukienda bukoba na karagwe zipo ila zitaendelea kuwa bora kiasi cha kila mpenda mafanikio natamani kuwa nazo.Unasema mjini,wewe unajua Nyamongholo ni kilometa ngapi kutoka mjini??.Kwataarifa hiyo nyamingholo ni mpakani kati ya Magu na ilemela yaani almost km20 toka CBD na km 30 kutoka airport.Nyumba za kawiada izo simejaa migombani uko moshi,sasa hapo ni mjini mhona barabara ni vumbi?
Onyesheni vitu vya tofauti mmekua watu wa kulialia tu kila wakati.Hayo ni mawazo ya kimaskini kwenye ukweli kubali tu.Hizo nyumba kuwa migombani hakufanyi kuwa za kawaida.Ni kweli hata ukienda bukoba na karagwe zipo ila zitaendelea kuwa bora kiasi cha kila mpenda mafanikio natamani kuwa nazo.Unasema mjini,wewe unajua Nyamongholo ni kilometa ngapi kutoka mjini??.Kwataarifa hiyo nyamingholo ni mpakani kati ya Magu na ilemela yaani almost km20 toka CBD na km 30 kutoka airport.
Acha kupiga kelele za kijinga, sawa hizo nyumba ni za kawaida sasa wewe leta picha za hizo zenye maajabu kuliko hizi.Hapa ni picha tu sio maneno.Onyesheni vitu vya tofauti mmekua watu wa kulialia tu kila wakati.
Izo ni nyumba za kawaida hakuna maajabu hapo
Hizi hapa Michese Dodoma👇Acha kupiga kelele za kijinga, sawa hizo nyumba ni za kawaida sasa wewe leta picha za hizo zenye maajabu kuliko hizi.Hapa ni picha tu sio maneno.
Sawa ipi? Dom inazidi kuwanyea huko 👇Sasa dawa imekuingia😂😂
Mwambie achukue hizo moshi na Arusha alinganishe na Dodoma.Tena hiyo miji miwili ni michosho na hovyo kabisa, Moshi hakuna mji pale. Eti Arusha na Moshi ni far better kwa Mwanza ! Una akili kweli wewe au una akili za kuvutia mmea wa Arusha. Narudia tena siwezi kuishi mji wowote katika nchi hii kama hakuna bahari au ziwa.
Wameanza kupiga lami taratibu hayo maeneo, so yatawaka sana kwa baadaeMwanza neighborhood with greenish scenery...
Ukipata mitaa yenye nyumba Kali na mazingira ya kijani kama hii [emoji116] nitag ....
Tunaanza na buzuruga mwananchi [emoji91][emoji116]View attachment 2408472View attachment 2408473View attachment 2408474
Sent using Jamii Forums mobile app