The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kwendraaaa huko kima wewe..Ndio maana basi ngoja niishie hapo
Linaishi Sumbawanga hukoNimeafatilia post zako nyingi ila inaonekana wewe jamaa ni mshamba sana na sijui unaishi mji gani, anyway sio tatizo lako labda elimu uliyo nayo inaweza kuwa ndiyo tatizo
Umepanic Sana wewe kenge..Linaishi Sumbawanga huko
Sumbawanga bado inaendelea kusifika kwa hile sifa yao kuu au mambo yakishabadirika na sisi watalii tuje huko tujionee.Umepanic Sana wewe kenge..
Usifananishe Sumbawanga na takataka Kama Mwanza au Kahama ๐๐
Mtoto fragile Kama wewe huwezi ishi Sumbawanga tusije kukuzika kabla ya umri wako bure.Sumbawanga bado inaendelea kusifika kwa hile sifa yao kuu au mambo yakishabadirika na sisi watalii tuje huko tujionee.
Katika zama hizi mji mkuu wanajengewa estate mbovu kama hizo ....Kwa estate kama hizo waishie huko huko .Dodoma inawatesa Sana watu wa Mwanza Ni vile tuu hawana Cha kufanya wanalazimika kupita kimya kimya [emoji23][emoji23].
Jiwe la msingi mradi wa nyumba 3500 Dodoma [emoji116]
Unaugulia Maumivu kwa kujifariji ๐๐๐Katika zama hizi mji mkuu wanajengewa estate mbovu kama hizo ....Kwa estate kama hizo waishie huko huko .
Private estate..nyasaka [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2431659View attachment 2431660
Tembea capital cities Duniani ,,, huwezi Sifia hizo kota ,,,,Unaugulia Maumivu kwa kujifariji [emoji16][emoji16][emoji16]
Sizitaki mbichi hizi [emoji23][emoji23]
Wakati Dom inaendelea kujengwa nyie mtaendelea kufarijiwa hivyo hivyo ๐๐Tembea capital cities Duniani ,,, huwezi Sifia hizo kota ,,,,
NB maumivu makali ni haya [emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2431662
Endelea kujifariji hivyo hivyo ..[emoji116][emoji116][emoji116]Wakati Dom inaendelea kujengwa nyie mtaendelea kufarijiwa hivyo hivyo [emoji16][emoji16]
Dom [emoji116]
Wewe na aliyeandaa hicho kibango Ni rubbish ๐ฎ๐ฎ.Endelea kujifariji hivyo hivyo ..[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2431676