Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

YAANI DODOMA ILINGANISHE NA TABORA,KATAVI,TANGA,MOSHI NA KEINGINEKO! NIKIIANGALIA MANDHALI YA MWANZA NA ZIWA LILIVYOINOGESHA ETI ULINGANISHE NA JANGWANI DODOMA,PALIVYOJAA VUMBI,KUNA SEHEMU FENSI ZA MINYAA ZILE ZA VIJIJINI ZIMEJAA,MWANZA NI JIJI LINALOKUWA KWA KASI KULIKO UNAVYOFIKILIA NENDA IGOMA,IMESHAUNGANA NA KISESA,BUHONGWA IMESHAUNGANA NA USAGARA NDIO ULINGANISHE NA POLINI HAPO LABDA MWAKA 2050 NA HAPO MWANZA IWE IMEPIGWA NA BOMU LA NYUKLIA
 
hii sio fair kabisa haiwezekani TMDA Kanda ya ziwa wana jengo Kali kuliko makao makuu dodoma [emoji28][emoji28][emoji83] ..kama unabisha Leta tuone

THE TMDA COMPLEX BUZURUGA [emoji116]
 
Unacheka lakin Kwa maumivu makali [emoji116][emoji116]
New apartment block. Uhuru road
The gradia tower ..View attachment 2480183
Kwamba anacheka kwa maumivu makaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, na hivi leo nafuraha ya chama langu la mashetani wekundu kushinda...... Hila mikdde unastahili tuzo ya kwenye hizi battle, umeweza kumfunga mdomo yule kasuku wa njombe mji.
 
Kwamba anacheka kwa maumivu makali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na hivi leo nafuraha ya chama langu la mashetani wekundu kushinda...... Hila mikdde unastahili tuzo ya kwenye hizi battle, umeweza kumfunga mdomo yule kasuku wa njombe mji.
Man u ni Simba waliochangamka ..hawana jipya [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…