Popularity ningeitaka ningeweka majina yangu ya kiserikali lofa wewe. Najaribu tu kuwaambia watu wa mwanza kuwa kweli mji wenu umekua, wasukuma sasa angalau wanaona vighorofagjorofa tudogo, ila wenzenu walishawatangulia, yani ni Arusha na Dar. On all fronts. Alafu arusha sehemu incorporated ya jiji ni CBD tu, watafanya marekebisho na utaelewa kwa nini mwanza ni shithole tu. Arusha wenzenu pale hakuna lugha isiyoongelewa pale, kireno, kirussi name it, Arusha ina global presence, wameanza kila kitu kabla yenu. Poleni lakini please please hakuna cha kulinganisha, Mwanza ni mji mkubwa lakini hauna la maana. Its not popping. Bakini kuwa watazamaji. Trendsetters Tanzania ni Dar na Arusha. Tanga ni honorable mention.