Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mumeanza ku surrender [emoji91][emoji91],na bado
Tuko hapa kuenjoy tu ...yaani Kwa akili za kawaida dodoma huwezi iweka group Moja na mwanza....ni ukosefu wa akili ...
Ebu Kwanza niwaulize nyie si mlisema mnaikimbiza dar [emoji28][emoji12][emoji12]
Imekuaje Tena[emoji116][emoji316][emoji849][emoji83]...nbs haiwapi nafasi [emoji12][emoji12][emoji28][emoji28]
 
Dodoma bado Ina safari ndefu sana .....kuipata Arusha af ndo ianze kuitafuta mwanza ...mji ghorofa ya maana ni hyo Moja hapo ,,,vingine vibanda [emoji28][emoji28]
Pamoja na chuki zako ila unajua kabisa kweye hiyo picha hakuna gorofa kibao za Dom ya.

Mwanza gorofa ya maana ni nssf pekee kwingine kote ni takataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…