Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Service industry ya Dodoma ni kubwa sana kuliko Mwanza ndio maana unaweza kuona Jiji la Dom linakusanya mapato mara 2 ya Mwanza..

Victoria complex
 
Uzuri wa Dodoma sio CBD,ni Jiji Zima linapendeza sana..

Nenda kule Udom then angalia Mji unavyopenda, sehemu kubwa ya Jiji linaonekana kasoro Mji wa Serikali but Dom ni tamu sana aisee..

Sasa nyie endeleeni kujifariji na cbd
Jiji Zima linapendeza wap...HIV wew dodoma ulishawahi fika kweli au unaropoka tu ....
Leta picha za hayo maeneo yanayopendeza ,,,, ukiacha mji wa serikali na pale medeli .. kwingine dodoma ni takataka kama singida ...by the way kahama Ina makazi Bora mengi kuliko dodoma
 
Nimeshakwambia panda kule Udom then angalia Jiji vs Bugando angalia Mwanza yaani ni mauchafu tuu kule Mwanza ambayo huwezi yaona Dom..

Niko hapa Midland View Hotel Dodoma njoo uniue basi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeshakwambia panda kule Udom then angalia Jiji vs Bugando angalia Mwanza yaani ni mauchafu tuu kule Mwanza ambayo huwezi yaona Dom..

Niko hapa Midland View Hotel Dodoma njoo uniue basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12][emoji12][emoji849][emoji849][emoji849]... kweli mji umevamiwa na mpori mpori sasa ukisimama pale humanity,,au chimwaga .. dodoma yote unaiona ,,,huachi hata tone yote ,,,Kwa maana dodoma sio mji mkubwa ...then hamna maajabu yanayoonekana Zaid ya vijengo vya hapo medeli [emoji12][emoji12][emoji12]..
Mwanza hata usimame wapi huwezi Ione yote ...
dodoma inabidi ipambane na manispaa ya ilemela.... mwanza yote haiwezi .
 
Kwa hiyo Ukiwa Chimwaga wewe unaona Hadi Mji wa Serikali au Nkonxe? Acha ujinga..

Hayo maeneo uliyoyasema utaona sehemu kubwa ya Mjini tuu..

Mwanza ukiacha Mjini Kati hapo kwingine kote ni Yale mabanda yenu ya Nguruwe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hiyo Ukiwa Chimwaga wewe unaona Hadi Mji wa Serikali au Nkonxe? Acha ujinga..

Hayo maeneo uliyoyasema utaona sehemu kubwa ya Mjini tuu..

Mwanza ukiacha Mjini Kati hapo kwingine kote ni Yale mabanda yenu ya Nguruwe [emoji23][emoji23]
Nkonxe ndio wapi huko ..mwambie mwenyeji wako akuelekeze vizuri majina ya mitaa[emoji849][emoji16][emoji16][emoji16].
By the way mji wa serikali upo nje ya city proper ...inabidi upite vijiji na mapori kuupata huo mji .... city proper inaanzia Nala Hadi ihumwa ,,mkonze Hadi msalato.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Njia ya Iringa wewe pimbi
 
Kwa hiyo Ukiwa Chimwaga wewe unaona Hadi Mji wa Serikali au Nkonxe? Acha ujinga..

Hayo maeneo uliyoyasema utaona sehemu kubwa ya Mjini tuu..

Mwanza ukiacha Mjini Kati hapo kwingine kote ni Yale mabanda yenu ya Nguruwe [emoji23][emoji23]
Nitafurah sana kama utaniletea mtaa wenye makazi Bora kama huu bwiru..hapo semi arid city [emoji28][emoji28]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mmh kwakweli dodoma ya sasa hauwezi ifananisha na mwanza mwanza ni kubwa sana ila labda baada ya miaka 5 hivi huko mbeleni zinaweza kuwa sawa.
Ila pia sidhani maan mwanza ni nzuri sana.
 
Nitafurah sana kama utaniletea mtaa wenye makazi Bora kama huu bwiru..hapo semi arid city [emoji28][emoji28]View attachment 2498875View attachment 2498876

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Vijumba kama hivyo ni sehemu ndogo sana ya Jiji la Dom..

Mji mzima uko hivyo mbona 😁😁

Raha ya Dom ni Moja,ukikaa miezi 6 au mwaka unakuta Jiji kimebadikika sana..

Saizi underpasses Kila sehemu..

Nakuja Mwanza mwezi ujao kama mambo yataenda sawa ntakuja kukuumbua πŸ˜€πŸ˜€
 
Mmh kwakweli dodoma ya sasa hauwezi ifananisha na mwanza mwanza ni kubwa sana ila labda baada ya miaka 5 hivi huko mbeleni zinaweza kuwa sawa.
Ila pia sidhani maan mwanza ni nzuri sana.
Humu hatufananishi ukibwa tuu bali quality ya kila kitu hapo Mjini..

Mwanza Ina quality ya kitu gani kuizidi Dom? Anzia miundombinu Hadi makazi ya mtu mmja mmja?

Kitendo tuu Cha Serikali kuamua kuupanga Mji na kuweka Huduma Kwa kutawanya kimeupa hadhi sana Mji wa Dom tofauti na Mwanza iliyosongamana,uswazi Kila sehemu and such upuuzi,no order at all.
 
Unadhani mwanza ni mbeya we simbilisi ...

Anzia quality and quantity zote tumewezidi.......
Mandhari na Kila kitu ...

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi wajinga ni wengi sana, mtu akiamka analinganisha miji mara hotel, hivyo vitu vinakusaidia kwenye maisha yako?? Kwa mfano watu wote wakikubali dodoma ni kubwa kuliko then what? Hiyo itakusaidia nini kwenye maisha yako?? Kuwa unaleta kwenye jukwaa vitu vyenye subsistence na siyo huu uhalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…