Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hata bariadi inajengwa....kitu Cha kujiuliza vinajengwa vitu gan [emoji849][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Utasikia wale haters wa Dom wakikuambia Dom inajengwa na Serikali hakuna majengo ya private companies nk..

Huu ujinga Huwa mnajazana Kwa faida ya nani?

Dom cbd
IMG_20230129_160804_641.jpg
IMG_20230129_160838_978.jpg
IMG_20230129_162444_304.jpg
IMG_20230129_161159_302.jpg
IMG_20230129_154848_943.jpg
IMG_20230129_153547_999.jpg
 
Huu uzi unatakiwa ufutwe dodoma sio sehemu ya watu kukaa ni basi tu serikali inalazimisha sio kwa vumbi lile na ukame ule.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Wewe ni kajinga,Hilo vumbi mnalotajaga mbona Mimi silioni?

Kama kiangazi Kuna vumbi wapi ambalo hakuna vumbi Tanzania hii? Labda Dar..

Ila very unfortunately hizo maneno zako ni sawa tuu na machozi ya samaki
 
Ndani ya miaka 10 ijayo haya yanayoongelewa yatakuwa mengi yamefanyika.

Sunk jiandae
Njia nne mwanza mpaka mwanangwa 54km.

Njia nne usagara mpaka mpaka wa mwanza na Geita 101km.

Kuna njia nne mwanza Nyanguge
34km.

Uwezekano wa usagara kisesa bypass 17km kuwa njia nne ni mkubwa pia.

Ukijumlisha hapo ni zaidi ya 200km zitakuwa njia nne ndani ya mkoa.

Hii ina maana wilaya zote za mza zitakuwa na dual carriage kasoro ukerewe nayo kwa sababu ni kisiwa
Sasa huto tumiradi twa km 200 Kwa Dom unachukua km 120 za Outer Ring Road na dual carriage zilizopo Sasa Jijini tayari inafikia..
On top of that Kuna ,

njia 4 Kila upande wa Barabara kuu km 50 each,

Bado Dodoma inner Ring Road km 60

Bado tram,brt na airport,uwanja wa mpira,arena ya michezo ya ndani,viwanja vya golf nk nk..

Hakuna siku Mwanza itakuja kuikaribia Dodoma,nyie endeleeni kujifariji na cbd tuu hapo.
 
Raha ya mji uwe na bahari au ziwaView attachment 2499698
Kwa hiyo Mwanza ni nzuri kuliko Arusha, Kigali, Kampala, Lusaka au Lilongwe si ndio? Acha Uzwazwa wewe,sema wewe ndio unapenda hivyo..

Kwanza Dom ikishapandwa miti ya kutosha kama kule Udom basi hata hali ya hewa inakuwa nzuri,ndio maana masika Haki ya hewa Dom Huwa kama Dar tuu Wala haichoshi.
 
Mikdde Huwa anapenda sana kuwadanganya kwamba Dom ni serikali inajenga sijui Kwa maslahi ya nani hasa..

Don't forget, thise are some private developments in Dom City 👇
IMG_20230129_152554_503.jpg
IMG_20230129_151922_854.jpg
IMG_20230129_125509_259.jpg
IMG_20230129_125751_625.jpg
IMG_20230129_163550_211.jpg
IMG_20230129_163956_216.jpg
IMG_20230129_155509_865.jpg
 
Picha ya Mwisho ni mradi privte mingine ni NHC under JV.
 
Kwa hiyo Mwanza ni nzuri kuliko Arusha, Kigali, Kampala, Lusaka au Lilongwe si ndio? Acha Uzwazwa wewe,sema wewe ndio unapenda hivyo..

Kwanza Dom ikishapandwa miti ya kutosha kama kule Udom basi hata hali ya hewa inakuwa nzuri,ndio maana masika Haki ya hewa Dom Huwa kama Dar tuu Wala haichoshi.
We chizi nini uilinganishe mwanza na Kampala!? East Africa yote mini miji ambayo ni far better than mwanza ni
Nairobi
Dsm
Mombasa
Kigali
Kinshasa
 
Sasa huto tumiradi twa km 200 Kwa Dom unachukua km 120 za Outer Ring Road na dual carriage zilizopo Sasa Jijini tayari inafikia..
On top of that Kuna ,

njia 4 Kila upande wa Barabara kuu km 50 each,

Bado Dodoma inner Ring Road km 60

Bado tram,brt na airport,uwanja wa mpira,arena ya michezo ya ndani,viwanja vya golf nk nk..

Hakuna siku Mwanza itakuja kuikaribia Dodoma,nyie endeleeni kujifariji na cbd tuu hapo.
Sasa kwani umeambiwa watakomea hapo tu, miradi itakuja mingi tu, hiyo ni ile ambayo ipo mbioni kwa sasa,
Nani alikwambia team na brt haziji mza
 
Mikdde Huwa anapenda sana kuwadanganya kwamba Dom ni serikali inajenga sijui Kwa maslahi ya nani hasa..

Don't forget, thise are some private developments in Dom City [emoji116] View attachment 2499837View attachment 2499838View attachment 2499839View attachment 2499840View attachment 2499841View attachment 2499842View attachment 2499843
[emoji16][emoji16][emoji16]...unajitekenya na kucheka mwenyewe....... jengo la juu Lina miaka karibu mitano Toka lianze kujengwa 2018 ..lipo hapo karibu na Nyerere square,, maeneo ya halmashauri...picha ya pili ni jengo Hilo Hilo umepiga Kwa nyuma ..picha ya tatu ni jengo la taasisi ya serikali lipo mtaa wa medeli jirani la morena...
Jengo la tatu ndio la mtu binafsi .na la mwisho..
By the way vijengo kama hvyo hata singida vipo wanajenga [emoji28][emoji28]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Mwanza ni nzuri kuliko Arusha, Kigali, Kampala, Lusaka au Lilongwe si ndio? Acha Uzwazwa wewe,sema wewe ndio unapenda hivyo..

Kwanza Dom ikishapandwa miti ya kutosha kama kule Udom basi hata hali ya hewa inakuwa nzuri,ndio maana masika Haki ya hewa Dom Huwa kama Dar tuu Wala haichoshi.
Aliyekuambia Kampala hamna ziwa nani ........

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom