Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hyo planning hapo Iko wapi au hivyo vinjia vya udongo [emoji75][emoji75][emoji75]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Dom sio kama Mwanza ya uswazi
housing_real_estate_dodoma_1675072557777589.jpg
 
Wewe nawe Sunk unahangaika bure tu! Jiji la Mwanza haliwezi kuwa sawa na Mbeya wala Dodoma! Uwekezaji unao uona Dodoma mkubwa ni wa serkali sio wa wananchi na sekta binafsi!
Kitu kingine nikukumbushe tu katika sensa hii ya juzi mkoa wa Mwanza ndo una majengo mengi yanayoendelea kujengwa kuzidi hata Dar!
Na kwa ujumla Mwanza ilipaswa kukimbizana na Dar kwa ukarbu sana kama ingekuwa na vyuona taasisi za kiserkali nyingi!
Kuwa mpole watu wa Mwanza sio wa mchezo mchezo kuanzia wennyeji mpaka na wageni, Naweza kusema nafuu hata Dodoma inaweza kuwa mshindani wa Mwanza ila Mbeya haitakaa iiifikie Mwanza hata Nusu!
 
Hata Mimi nimeona ni serikali ndio inawekeza ndio maana Dom Ina mapato mara 2 ya Mwanza 😁😁😁🏃🏃
 
Uchumi ni pesa sio maneno maneno [emoji16][emoji16]
Ukiona haupo top 3 ya matumizi ya mafuta ..bas ujue Hali na uwezo wa wananchi kiuchumi ni mdogo
Kwa sababu:
1 idadi ya wanaomiliki magari ni ndogo
2 idadi ya vyombo vya usafirishaji ni ndogo
3 facilities za kujazia na kutunzia mafuta ni ndogo ..
[emoji116][emoji116]🥸
Screenshot_20230131-133707.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mapato

Dodoma 191+89=280

Mwanza 221+44=265

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2501209
Ulivyo chiZi unajitengenezea figure zako za mchongo..ulisikia wapi Kuna summation ya mapato ya namna hyo ..why don't you sum all income figure.ili upate total ya mapato yote ya mkoa ambayo ni sawa na GDP ...by the way total ya mapato ya mkoa wa dodoma haizidi trilion 5 ..kama ipo leta , wakati wenzenu Mwanza ni trillion 12 now

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂 ndo unavyojifariji hivyo au siyo? 😁😁😁😁.

Endelea kujitoq ufahanu kwamba Hizi ni data za kutunga au siyo? 👇
20230105_220858.jpg
 
Ukiona haupo top 3 ya matumizi ya mafuta ..bas ujue Hali na uwezo wa wananchi kiuchumi ni mdogo
Kwa sababu:
1 idadi ya wanaomiliki magari ni ndogo
2 idadi ya vyombo vya usafirishaji ni ndogo
3 facilities za kujazia na kutunzia mafuta ni ndogo ..
[emoji116][emoji116]🥸View attachment 2501301

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sisi hatuna mavivuko ya Temesa
 
Back
Top Bottom