Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hizi nyundo 3 zinawakomesha sana Watu wa Mwanza wanatamani kuzihamishia uswazini kwao 😁😁

Dom
JENGO (1).jpg
dodoma-post (1).jpg
Ministry_of_Foreign_Affairs_Dodoma_HQ.jpg
IMG_20230129_163033_836.jpg
 
Hizi nyundo 3 zinawakomesha sana Watu wa Mwanza wanatamani kuzihamishia uswazini kwao [emoji16][emoji16]

DomView attachment 2501437View attachment 2501439View attachment 2501440View attachment 2501442
Naona .. vijengo vitatu ,,,[emoji28][emoji28][emoji28].Kwa hisani ya mafao ya mwigulu nchemba ,,na TAMISEMI [emoji28][emoji28][emoji16][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji75][emoji443][emoji443][emoji12]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Central bussines district Kwa lugha nyingine city center,town center,au downtown ....aka mjini

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Asante sana maana sikuwa nikilijua Hilo nikawa nang'aza macho tu... Basi sasa hapo naweza kuchangia walau kwa mbali japo sijafika popote kati ya majiji hayo

Nijuavyo ni kwamba sungura hata anenepe vipi hawezi kumfikia ng'ombe

Namaanisha Mwanza ni Jiji la kale kidogo na ukuaji wake ni wa asili yaani Kuna sababu anuai kama zile zilizosababisha majiji mengine kukua hivyo Dodoma hata iendelee vipi huwezi kuifananisha na Mwanza kwani yenyewe sababu za kukua kwake siyo za asili
 
Ni sawa na wale wanaolinganisha miji tena miji mingine ni ile ya mkoloni na miji ya juzi
Mfano
Kondoa vs Handeni
Mpwapwa vs Korogwe
Gairo vs Kiteto
Kongwa vs Kilindi
Ruangwa vs Nachingwea
Kilwa vs Masasi
 
Asante sana maana sikuwa nikilijua Hilo nikawa nang'aza macho tu... Basi sasa hapo naweza kuchangia walau kwa mbali japo sijafika popote kati ya majiji hayo

Nijuavyo ni kwamba sungura hata anenepe vipi hawezi kumfikia ng'ombe

Namaanisha Mwanza ni Jiji la kale kidogo na ukuaji wake ni wa asili yaani Kuna sababu anuai kama zile zilizosababisha majiji mengine kukua hivyo Dodoma hata iendelee vipi huwezi kuifananisha na Mwanza kwani yenyewe sababu za kukua kwake siyo za asili
Ni kweli kabisa.umenena mkuu [emoji91][emoji91][emoji106]
 
Watu wa Mwanza mnaonekana wajinga kwa kubishana na DODOMA(mji wa omba omba)

Bora hata mkibishaba na Arusha huko.
 
Attachments

  • midlandhotels_79364111_459929048038921_2164776106575092339_n.jpg
    midlandhotels_79364111_459929048038921_2164776106575092339_n.jpg
    109.8 KB · Views: 12
  • pigeon_hotel_17883010_241536322919577_4127539429168381952_n.jpg
    pigeon_hotel_17883010_241536322919577_4127539429168381952_n.jpg
    115.8 KB · Views: 12
  • leyshofhotel_259825661_580827933181430_7812348417821171327_n.jpg
    leyshofhotel_259825661_580827933181430_7812348417821171327_n.jpg
    213.1 KB · Views: 9
Back
Top Bottom