Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Toka upate picha ya haka kajengo..katakukoma mwaka huu ..[emoji28][emoji28][emoji28]...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka upate picha ya haka kajengo..katakukoma mwaka huu ..[emoji28][emoji28][emoji28]...
Nimecheka kwa sauti [emoji1787][emoji1787]Toka upate picha ya haka kajengo..katakukoma mwaka huu ..[emoji28][emoji28][emoji28]...
Ni mwendo wa spana tuu,mbona nyie mnalingia hako ka nsssf hotel?Toka upate picha ya haka kajengo..katakukoma mwaka huu ..[emoji28][emoji28][emoji28]...
Hii hotel ni Zaid ya morena hotel ..hotel Yao wanayojivunia [emoji28][emoji28]View attachment 2507257
Monarch hotel
Na Hapo sijaaona cancer facility,benk ya damu ,jengo la huduma za macho ,chuo Cha cuhasView attachment 2507266
Baadhi ya majengo Bugando hospital.
Ukiyachukua hayo majengo ukayatawanya yawe mbalimbali unapata Magufuli city[emoji1787][emoji1787]
Ndio maana nikasema baadhi ya majengo Bugando, kuna hospitali ya macho pia haipo hapoNa Hapo sijaaona cancer facility,benk ya damu ,jengo la huduma za macho ,chuo Cha cuhas
Dodoma mdanganye mtu kwa edited photos na si kwa aliyefika Ni sehemu chache tu Zina utulivu huwezi kufananisha na Mwanza labda dodoma linganisha Lindi au Mbeya wanaweza kuwa wanazungumza Lugha moja.
Haters as usual 😂😂.Utulivu upi unaouzungumzia wewe?Dodoma mdanganye mtu kwa edited photos na si kwa aliyefika Ni sehemu chache tu Zina utulivu huwezi kufananisha na Mwanza labda dodoma linganisha Lindi au Mbeya wanaweza kuwa wanazungumza Lugha moja.
Hii ni hoteli au Lodge?View attachment 2507257
Monarch hotel
Wewe si umepost hospitaliHii ni hoteli au Lodge?
Haters wanasema hapa ni time square [emoji28][emoji116] na
Be4 sijaiona Morena nilijua na Hotel kali knouma, nilichoka nilipoiona kwa Machooo yanguHii hotel ni Zaid ya morena hotel ..hotel Yao wanayojivunia [emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]Be4 sijaiona Morena nilijua na Hotel kali knouma, nilichoka nilipoiona kwa Machooo yangu
Haters watasema hapa Macau .Dodoma ya watanzania..View attachment 2510395
Watakwambia hii sio TanzaniaHaters watasema hapa Macau .
[emoji116] Visit mwanza city View attachment 2514442View attachment 2514443