Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Njoo ..na ukifika ndio mwanzo wako wa kulipenda jiji..naaminj kama unapanda premier line ya mbeya utafika saa 2 asubuhi..mji utauona vizuri kabisa kuanzia Usagara, nyashishi, buhongwa, mkolani, nyegezi, butimba, mkuyuni, igogo,town..
Na kama unakuja Kwa flight..mji utauona vizuri kabisa kuanzia airport, Ilemela,pasiansi, nyamanoro,Ghana,kirumba,nera ,town

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Miundo mbinu gani ambayo Dodoma inayo na Mwanza haina?
 
Wewe sio mstaarabu na watu design yk ni hatari sana wakiwa na wadhifa.

Unajua maana ya freedom of expression??
Maadam wahusika /muhusika hajavunja katiba basi anahaki ya kueleza maoni yake na wewe km hujapenda vumilia ndio uhungwana huo.
 
Siwezi penda kwenye Kansa Mimi 😂😂
,Sasa kipya kipi ntakipenda hapo Mwanza ?
 
Mwanza haina uswazi zaidi ya Mabatini na igogo ni hizo mitaa tu, kwingine, Mwanza inatisha kwa majengo na mpangilio mzuri..... Huko Dodoma ukitoa mji wa serikali na chuo cha dodoma kuna maajabu gani?
 
Sasa wewe umekuja kufanya nini huku? Kakojoe ulale 🙄🙄
 
Wewe ndochocha ulikuwa wapi huu uzi ulianza kupoa.
Kwa wale mbaoenda biashara,Dodoma Kuna shida kubwa ya maziwa fresh,achana na hayo ya kwenye mapakiti.

Mie napenda sana maziwa fresh au mgando yasiyosindikwa ila Sasa sijawahi ona duka la maziwa Dom kama ilivyo Mikoa ya kwetu..

Wale wa Dom chukua fursa hiyo kama Kuna supply ya maziwa fresh kutoka Maeneo ya Jirani.

Pili Kwa wafugaji hapa Kuna fursa hiyo na Kitimoto..
 
Nenda maeneo ya chuo Cha mipango na mitaa ya mnada wa zamani..huko Kuna maziwa unauziwa fresh kabisa yaliyokamuliwa kwenye ng'ombe..

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mwanza 👇
 

Attachments

  • 20230116_224200.jpg
    379.9 KB · Views: 11
Ndani ya miaka 10 ijayo haya yanayoongelewa yatakuwa mengi yamefanyika.

Sunk jiandae
Njia nne mwanza mpaka mwanangwa 54km.

Njia nne usagara mpaka mpaka wa mwanza na Geita 101km.

Kuna njia nne mwanza Nyanguge
34km.

Uwezekano wa usagara kisesa bypass 17km kuwa njia nne ni mkubwa pia.

Ukijumlisha hapo ni zaidi ya 200km zitakuwa njia nne ndani ya mkoa.

Hii ina maana wilaya zote za mza zitakuwa na dual carriage kasoro ukerewe nayo kwa sababu ni kisiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…