Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #3,041
Of course kulingana na jiografia ya Serena na facilities kadhaa ikiwemo golf course na spa inaweza chezea ndani ya 4 au 5, nilishakwambia kuwa hoteli hazipimwi kwa macho ila vigezo hivyo usitake nikupe uhakika sijawa mzee tambitambi.Kumbe unavyoona wewe [emoji28][emoji28]...nikajua wanavyoona wataalamu....Mimi nimezungumzia Serena we umedakia Hyatt regency,,,,....japo sio mtaalamu wa masuala ya hotel ila nakushauri kasome upya hizo notisi ulizopewa ,inaonekana Kuna mahala hujaelewa..by the way usituchote hapa ...