ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sasa route kutishia sehemu Moja ambayo ni city centre Kuna tatizo gani? Mbona sioni hoja?Hujajibu kabisa hoja zake,umeishia kuparaza tu ili mradi umejitutumua kujibu.Hebu nenda sambamba na hoja zake,mfano yeye amekupatia mpaka idadi ya routes za daladala kwamba zote zinaishia sehemu moja.
Inawezekana unapata ugumu wa kujibu hoja zake kwakuwa mwenzio kaenda deep na kaichambua Dodoma vizuri sana,ukizidiwa ni vizuri kutundika daruga na ukaachia mwingine ajaribu kupangua hoja za Ngosha.