Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

njoo Dodoma Wine Festival inafanyika kila mwaka utaona zaidi ya brands 50 za wine zinazotengenezwa Dodoma.Soko la wine Tanzania na East Africa limeshikiliwa na wines zinazotoka Dodoma kama Dompo,Celta Wigo,Presidential,Mtita,Tullys,Veyula,Heaven Son,Mtita,Altar Wine n.k. Asilimia chache ya wines zinatoka South Africa
Acha kutudanganya wewe,soko kubwa la wine ni zinazotoka S.Africa.
 
Mliopo Dodoma tafuteni mafundi ujenzi au yeyote anaejihusisha na masuala ya ujenzi muulize kuhusu kasi ya ujenzi Dom, mm nina mafundi niliwatoa Dar, Mwanza na Arusha sasa hivi 60% wamesharudi makwao kazi hakuna watu hawajengi tena kwa kasi ile ya 2017, baadhi ya wasiojua wanamweka Dr Samia hapa eti wafanyakazi wamerudi Dar

Mnaweza kutuambia ni nani karudi Dar? Maana hata Mtumba JPM kaondoka kuna ghorofa mbili tu ya TARURA na TAMISEMI, zile ghorofa zote zimeanza kujengwa na mama hebu jaribu kufikiria katikati ya mji Dom bado ina viwanja kutoka Morena ukiwa unatembea kuelekea CBE hapo kati kuna kipori, Makole yote ile ipo wazi, Kiwanja cha kula bata maarufu ni kimoja tu kilichopo pale Emausi karibu na jengo la GSM Capital city mall nimesahau jina lake

Tunavyoongea mda huu nipo Mwanza naona tofauti kabisa hapa Mwanza mda huu majengo ndio yanaamuka na sio serikali ni watu binafsi, hivi mnajua kama Makoroboi kuna mzigo wa ghorofa 33 kwenda juu unajengwa

Uwekezaji wa Mwanza ni wa sekta binafsi kwa kiasi kikubwa na sababu ni uwepo wa fursa nyingi za biashara mfano uvuvi, madini, kilimo nk, mnaweza kutuambia Dom zaidi ya uwekezaji wa real estate kwa ajiri ya wafanuakazi wa serikali ambao nao tayari wameshajitosheleza ni nn kinhine mwekezaji anaweza kufanya Dom?

Hebu angalia huu uwekezaji kwa Mwanza,,

Afya Mwanza ina mahospitali mengi zaidi ya private kuliko Dodoma Uhuru hospital, Agha Khan, Bugando, kuna moja ipo kona ya bwiru na sasa hivi wanajenga jengo kubwa la ghorofa 9 lipo mtaa wa Ghana jirani na Olympic

Benki ngoja nitaje tu zilizopo Mwanza ambazo Dom hazipo Standard Chaterd, KCB,, Stanbic

Viwanda, Pepsi Kolakola, TBL, SBT hapa nitaje hivyo tu lkn najua mnaijua vizuri Nyakato Industry Area maana kufikia mnaiongelea Mwanza mmeshafika

Usafiri Dom ina kampuni za mabasi kama nne au tano tu kubwa Kimbinyiko, Shabib, Satco, na wengine wengine wadogo kina Brightline wenye vigari viwili viwili,, unataka nitaje kampuni za Mwanza???? ,[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Hivi mnaijua Rwagasore nyie kuhusu maduka makubwa ,,, kuna siku nilipata tenda ya kufanya finishing Dom mitaa ya Chadulu jirani na Pestana Pup kawaida yangu natumia rangi za master nilishaangaa Dom yote muuzaji ni mmoja tu Abuu Marangi na ndo mfanyabiashara mkubwa akifuatiwa na Ngozi

Hivi mnapataga ujasiri wapi wa kuifananisha Dom na jiji la Miamba?

Idadi ya watu kwa mjibu wa Sensa ya watu na makazi Dom yote kama mkoa inazidiwa watu na Tabora
Acha stori ndefu kama vile unaandika riwaya, hatuna haja ya kuwatafuta mafundi watupe ushahidi wa kinachoonekana kwa macho,, sisi huwa tunaongea kwa picha tu, Dodoma haijawahi kusimama na kila siku mijengo inazidi kuporomoshwa si ya watu binafsi wala si serikali kila sehemu ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
FB_IMG_16777493090061558.jpg
FB_IMG_16777493210858484.jpg
FB_IMG_16777494656523406.jpg
FB_IMG_16777494076728022.jpg
FB_IMG_16777503691596396.jpg
FB_IMG_16777503400386941.jpg
FB_IMG_16777503896828955.jpg
FB_IMG_16777503546752703.jpg
FB_IMG_16777501027301375.jpg
FB_IMG_16777501535225666.jpg
FB_IMG_16777503767445123.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_16777494750158348.jpg
    FB_IMG_16777494750158348.jpg
    35.5 KB · Views: 10
Acha stori ndefu kama vile unaandika riwaya, hatuna haja ya kuwatafuta mafundi watupe ushahidi wa kinachoonekana kwa macho,, sisi huwa tunaongea kwa picha tu, Dodoma haijawahi kusimama na kila siku mijengo inazidi kuporomoshwa si ya watu binafsi wala si serikali kila sehemu ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] View attachment 2535016View attachment 2535017View attachment 2535018View attachment 2535020View attachment 2535021View attachment 2535025View attachment 2535026View attachment 2535027View attachment 2535028View attachment 2535030View attachment 2535031
Hawanaga facts zaidi ya porojo ,ndio maana namba na picha zinawaumbua ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Acha stori ndefu kama vile unaandika riwaya, hatuna haja ya kuwatafuta mafundi watupe ushahidi wa kinachoonekana kwa macho,, sisi huwa tunaongea kwa picha tu, Dodoma haijawahi kusimama na kila siku mijengo inazidi kuporomoshwa si ya watu binafsi wala si serikali kila sehemu ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] View attachment 2535016View attachment 2535017View attachment 2535018View attachment 2535020View attachment 2535021View attachment 2535025View attachment 2535026View attachment 2535027View attachment 2535028View attachment 2535030View attachment 2535031
Mbona unakuwa mshamba kaka, haya majengo uliyoleta hapa mbona ni ya kitambo sana,,,, au unataka nikupe na ushahidi

Hapo kuna jengo moja la wizara mtumba, kuna jengo la NEC uchaguzi house limekamilika na tayari linafanya kazi lipo Iyumbu, kuna mjengo ya UDOM hapo, pia naona Benki kuu, Wakandarasi house

Majengo yote yamejengo kipindi hichooo,,,, kuna ilo ghorofa ambalo halijapigwa plasta nadhani lipo Makulu kama unaenda UDOM

Watu wameanza kurudi walikotoka kazi zimepungua sana
 
Sasa shida nini? Nilitaka kukuonesheni kuwa Dodoma hailali iwe project ni mpya au ya zamani kila kitu kinatembea, iwe ni makazi ya watu binafsi au majengo ya serikali vyote vinakamilishwa siyo kwa kuchechemea mnavyonadi hapa.
 
njoo Dodoma Wine Festival inafanyika kila mwaka utaona zaidi ya brands 50 za wine zinazotengenezwa Dodoma.Soko la wine Tanzania na East Africa limeshikiliwa na wines zinazotoka Dodoma kama Dompo,Celta Wigo,Presidential,Mtita,Tullys,Veyula,Heaven Son,Mtita,Altar Wine n.k. Asilimia chache ya wines zinatoka South Africa
Sasa unajadiliana na mporipori kuhusiana na pombe za kitajiri wakati bia yenye soko kwao ni Balimi na kinywaji maarufu ni Chibuku, wanachomudu wengi ni gongo na mataputapu.
 
Sasa shida nini? Nilitaka kukuonesheni kuwa Dodoma hailali iwe project ni mpya au ya zamani kila kitu kinatembea, iwe ni makazi ya watu binafsi au majengo ya serikali vyote vinakamilishwa siyo kwa kuchechemea mnavyonadi hapa.
Sijakataaa nikwel project zilikuwepo,,, narudia tena zilikuwepo ila sasa hivi zimepungua sana
 
Acha kutudanganya wewe,soko kubwa la wine ni zinazotoka S.Africa.
nenda maduka ya vileo ya jumla au Bar za kawaida utakutana na local wines zinazotengenezwa Dodoma pekee, brands kama Alko Vintages,Dompo,Dane,Dodoma wine,Altar wine zinaongoza kwa mauzo. Wines za South Africa zinafika asilimia 20 tu ya soko zima na nyingi ya hzo brands utazikuta kwenye supermarkets namahoteli makubwa wakati hizi za Dodoma zinapatikana popote na hata wateja wa kipato cha kawaida
 
Mbona unakuwa mshamba kaka, haya majengo uliyoleta hapa mbona ni ya kitambo sana,,,, au unataka nikupe na ushahidi

Hapo kuna jengo moja la wizara mtumba, kuna jengo la NEC uchaguzi house limekamilika na tayari linafanya kazi lipo Iyumbu, kuna mjengo ya UDOM hapo, pia naona Benki kuu, Wakandarasi house

Majengo yote yamejengo kipindi hichooo,,,, kuna ilo ghorofa ambalo halijapigwa plasta nadhani lipo Makulu kama unaenda UDOM

Watu wameanza kurudi walikotoka kazi zimepungua sana
Acha mzaha Mzee, ujenzi wa Taasisi za Serikali sio tuu haupoi Bali haujafika hata nusu ya zinazohitajika๐Ÿ‘‡
Screenshot_20230302-225153.jpg
 
Back
Top Bottom