Exactly hakuna Jiji lililopangiliwa afrika mashariki na kati kama Dodoma....zaidi ya asilimia 90 ya eneo lote la Jiji limepimwa .Mji uliopangika kitambo hauna haja ya kupangwa tena hiyo shughuli ya kuwapanga wamachinga iachie miji ya ovyo kama mwanza
Nitajie mji wowote hapa Afrika Mashariki na Kati ambao umepimwa eneo lote kwa zaidi ya asilimia 80.....😂