Haya tuambie hiyo ghana street ndio ikoje kuizidi dodoma lkn matusi yametokea wapi?? Au wewe ni mwendawazimu
Hii hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tuambie hiyo ghana street ndio ikoje kuizidi dodoma lkn matusi yametokea wapi?? Au wewe ni mwendawazimu
Sana kaka, najua Hilo mkuu.
Haya tuambie hiyo ghana street ndio ikoje kuizidi dodoma lkn matusi yametokea wapi?? Au wewe ni mwendawazimu
Haramu kujibizana na choko la makoroboiTujibizane kwa hoja sasa. Na hii ni sehemu tu kamera haijaweza kuchukua eneo kubwa
Tungepata picha kama hii kwa view hii hii na kwa wakati huu ambapo kila eneo la ghana ni majengo marefu, hapo hakuna hosp ya royal, hakuna tba, hakuna maghorofa ya sasa.
Majengo kibao hayapo, hii picha ya mda mrefu mno.Tungepata picha kama hii kwa view hii hii na kwa wakati huu ambapo kila eneo la ghana ni majengo marefu, hapo hakuna hosp ya royal, hakuna tba, hakuna maghorofa ya sasa.
Nimeacha bro🙏🙏🙏Tupunguze maneno makali, hii battle ni kujifurahisha tu, sote tunajua Mwanza ni zaidi ya miji yote kutoa Dar, humu ni kama burudani na utani bila kuvunjiana heshma.
Safi sana, japo watu wanaudhi sana twende nao polepole tu, humu ukitoka utaenda battle la Arusha huko, ukitoka huko utaenda battle la Mbeya ukitoka kuna kisumu kote huko tukiwa harsh ni hatari, tunaudhiwa lakini tuwe humble tuwajibu kwa fact na picha na utani kiasi🙏🙏🙏🙏.Nimeacha bro🙏🙏🙏
Poa ndugu yangu nimekuelewa na Mimi situkani Tena. Lakini nashangaa kwanini mwanza inalinganishwa na kila mkoa mpaka count za Kenya au ndo tuseme kitu kizuri hujitangaza chenyewe?Safi sana, japo watu wanaudhi sana twende nao polepole tu, humu ukitoka utaenda battle la Arusha huko, ukitoka huko utaenda battle la Mbeya ukitoka kuna kisumu kote huko tukiwa harsh ni hatari, tunaudhiwa lakini tuwe humble tuwajibu kwa fact na picha na utani kiasi🙏🙏🙏🙏.
Mtu kama sunk fallacy au undava wale ni vichaa ni sawa nakujichosha tu 😂😂😂😂
Na bado mtalinganishwa adi na manyoni🤣🤣🤣🤣Poa ndugu yangu nimekuelewa na Mimi situkani Tena. Lakini nashangaa kwanini mwanza inalinganishwa na kila mkoa mpaka count za Kenya au ndo tuseme kitu kizuri hujitangaza chenyewe?
Ata huku mitaani wakina Ashura machacha(magaga) wa Tandale utawasikia wanavyojifananisha na macerebrity wakubwa kama wakina Angelina jolie, au wakina wema sepetu wa henzi hizo, kila mtu anaitaka Mwanza kwasababu ni pazuri sanaPoa ndugu yangu nimekuelewa na Mimi situkani Tena. Lakini nashangaa kwanini mwanza inalinganishwa na kila mkoa mpaka count za Kenya au ndo tuseme kitu kizuri hujitangaza chenyewe?
Dude kubwa lisilo na content [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Bado nera, kirumba, ghana, buzuruga na nyegezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili jiji la Mwanza ni dude kubwa sana
Sawa mkazi wa nyakato....nani asiyekujua ww ni WA mwanza [emoji28][emoji28]...uko unawachota tu wenzioDude kubwa lisilo na content [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Em tuwe wakweli wanamwanza nafikiri umasikini ni umasikini tu hata upakwe rangi kusema kweli yale mabanda yaliyopostiwa juu ya milima kama ni yenu basi they look so ugly nimepata kinyaa nusra nitapike ila nikajikaza baada ya kujua wanaoishi huko ni watanzania wenzangu.[emoji38]Kama favela Rio de Janeiro The most enjoying slums in Africa...unapata upepo wa ziwa na taswira nzuri ya jiji kama linavyoonekana Kwa chini ..........
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hako kamtaa zaidi ya rock city mall sioni hata sababu ya kukapigia promo humu, huko pembezoni ukiacha barabara kuu ukaingia chocho ni full mabanda,vumbi na maguest house ya show timu za ccm kirumba plus vichaka vya kufanyia ufuska na magereji bubu.Kuna anayeweza kunishinda hoja hapa, nimewaambia dodoma shindanisha na Ghana street
Spana bado zipo palepale mpaka mtubu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mkazi wa nyakato....nani asiyekujua ww ni WA mwanza [emoji28][emoji28]...uko unawachota tu wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app