Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Nimeamini kuna watu hawana aibu, yani Dodoma iliyo jangwani ulinganishe na Mwanza watu wa aina hii plug zitakuwa hazichomi.
Wamekuja wengi kama wewe ila wameleft na aibu zao kimya kimya hiki si kijiwe cha kahawa eti Mwanza itaishinda Dodoma kwa kupambwa na maneno, hapa ni leta fact nilete fact leta picha nilete picha nje ya hapo jua unapayuka tu intruder wetu.
 
Impact itakuwa ni ile ile ya vivuko ikiongezeka ni kidogo sana ukweli ni kuwa hili daraja limejengwa mapema katika wakati usiyo sahihi, pesa zilizotumika hapa zilitosha kabisa kumaliza tatizo la mabarabara mwanza.
Aliyekuambia daraja linajengwa Kwa ajili ya biashara ya serikali nani .acha ushamba bas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
endeleeni kusubiri vijengo vya makao makuu ya REA NA SUMA JKT [emoji1787][emoji1787]
[emoji116] Private sector on [emoji91]
IMG-20230327-WA0007.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bil.700 zinamwagwa kwenye kiwanda hiki hapa Dom.

Kuzalisha zaidi ya tani mil.1 za mbolea
 
Back
Top Bottom