[emoji1787][emoji1787]Nimeamini kuna watu hawana aibu, yani Dodoma iliyo jangwani ulinganishe na Mwanza watu wa aina hii plug zitakuwa hazichomi.
Wamekuja wengi kama wewe ila wameleft na aibu zao kimya kimya hiki si kijiwe cha kahawa eti Mwanza itaishinda Dodoma kwa kupambwa na maneno, hapa ni leta fact nilete fact leta picha nilete picha nje ya hapo jua unapayuka tu intruder wetu.Nimeamini kuna watu hawana aibu, yani Dodoma iliyo jangwani ulinganishe na Mwanza watu wa aina hii plug zitakuwa hazichomi.
Ngoma si inasemekana ni ya mzee baba
Title "Kilio chetu"
Unatuletea story za vijiweni hapa,, Nyerere road ilikuwa ni benk ya Stanbic Hadi walivyokuja kufanya rehabilitation ikawa plazaNgoma si inasemekana ni ya mzee baba
DomUnatuletea story za vijiweni hapa,, Nyerere road ilikuwa ni benk ya Stanbic Hadi walivyokuja kufanya rehabilitation ikawa plaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ukumbi wa kuonyeshea mipira ni kitu cha kuringia kweli?
Impact itakuwa ni ile ile ya vivuko ikiongezeka ni kidogo sana ukweli ni kuwa hili daraja limejengwa mapema katika wakati usiyo sahihi, pesa zilizotumika hapa zilitosha kabisa kumaliza tatizo la mabarabara mwanza.
Aliyekuambia daraja linajengwa Kwa ajili ya biashara ya serikali nani .acha ushamba basImpact itakuwa ni ile ile ya vivuko ikiongezeka ni kidogo sana ukweli ni kuwa hili daraja limejengwa mapema katika wakati usiyo sahihi, pesa zilizotumika hapa zilitosha kabisa kumaliza tatizo la mabarabara mwanza.
Nyie ukumbi wenu uko wapiHuu ukumbi wa kuonyeshea mipira ni kitu cha kuringia kweli?
endeleeni kusubiri vijengo vya makao makuu ya REA NA SUMA JKT [emoji1787][emoji1787]
Ndio kiwanda hiki au sio? 😁😁endeleeni kusubiri vijengo vya makao makuu ya REA NA SUMA JKT [emoji1787][emoji1787]
[emoji116] Private sector on [emoji91]View attachment 2567972
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kataja kiwanda ,,nyie kwenye viwanda bado makinda mnanyonya ... usitake tuexpose Kila kituNdio kiwanda hiki au sio? [emoji16][emoji16]
Oh .. dodoma inajengwa...wapi [emoji16][emoji28] kama sio mji wa serikali tu .Ndio kiwanda hiki au sio? [emoji16][emoji16]