Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Endelea kujifariji

Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma inaendelea kuhamisha makao makuu na shughuli zote za kiserikali kwake, uwekezaji wa serikali kwenye taasisi, wizara, makazi bora na vitega uchumi vyake kipaumbele ni Dodoma, sekta binafsi zinaendelea kuwekeza, viwanda na viwanja vipya vinaendelea kujengwa, miundombinu kama barabara za lami na reli, bandari kavu n.k

Vitu vingi vilivyokuwa vinaifanya Dar iwe tegemeo na kimbilio la watu wengi kwa kila kitu toka mikoani na nchi jirani vinaanza kuondoshwa kidogo kidogo;

ikiwemo kufuata huduma za kiserikali dar, ajira, usafiri wa anga,ulazima wa kufuata mizigo bandarini, miundombinu mizuri, huduma za kijamii, elimu ya juu, mazingira ya kibiashara na uwekezaji, real estate, n.k

Vitu kama hivi kama siyo vyote vitakuwa vinapatikana Dodoma hivyo Dar lazima tu kasi yake ya ukuaji na uchumi lazima itetereke kimtindo japo haiwezi kuyumba kutokana na umuhimu wa mji huu kiuchumi, population na uwekezaji mkubwa uliopo, kikubwa ni kuwa itabakia kuwa kama Mwanza ikijipambanua kibiashara tu na siyo vinginevyo.
 
Mnafutwa machozi,
Update asilimia 71
JamiiForums-1599982374.jpg
JamiiForums-1470787095.jpg
JamiiForums-1134303932.jpg
JamiiForums670859953.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dodoma inaendelea kuhamisha makao makuu na shughuli zote za kiserikali kwake, uwekezaji wa serikali kwenye taasisi, wizara, makazi bora na vitega uchumi vyake kipaumbele ni Dodoma, sekta binafsi zinaendelea kuwekeza, viwanda na viwanja vipya vinaendelea kujengwa, miundombinu kama barabara za lami na reli, bandari kavu n.k

Vitu vingi vilivyokuwa vinaifanya Dar iwe tegemeo na kimbilio la watu wengi kwa kila kitu toka mikoani na nchi jirani vinaanza kuondoshwa kidogo kidogo;

ikiwemo kufuata huduma za kiserikali dar, ajira, usafiri wa anga,ulazima wa kufuata mizigo bandarini, miundombinu mizuri, huduma za kijamii, elimu ya juu, mazingira ya kibiashara na uwekezaji, real estate, n.k

Vitu kama hivi kama siyo vyote vitakuwa vinapatikana Dodoma hivyo Dar lazima tu kasi yake ya ukuaji na uchumi lazima itetereke kimtindo japo haiwezi kuyumba kutokana na umuhimu wa mji huu kiuchumi, population na uwekezaji mkubwa uliopo, kikubwa ni kuwa itabakia kuwa kama Mwanza ikijipambanua kibiashara tu na siyo vinginevyo.
Vitu vya kiserikali havina mvuto Kwa wananchi labda wafanyakazi ndio maana Dar itaendelea kuongoza tu
 
Itaendelea kuongoza kwa kipi? Kama siyo bandari tu ndiyo itakayoendelea kuchagiza biashara na hiyo population yake kubwa.

Mpaka sasa real estate inachechemea, biashara za kidigitali na malls ni za kusuasua, investors niwakuvuta na kamba labda huko kigamboni kwenye viwanda.

Biashara nyingi posta za majengo ikiwemo mahoteli, vitega uchumi binafsi na vya serikali mostly vinategemea occupancy na spendings zinazosababishwa na uwepo wa shughuli za kiserikali na eneo pekee ambalo haliwezi kuyumba ni kariakoo.

Dodoma inaenda kuimarika mapema mno katika sekta zote mbili yaani public na private, ambayo itachochea mno mazingira mazuri ya ajira, uwekezaji na biashara ukichukulia pia kifursa haitopishana sana na Dar (labda wingi wa watu) na hata katika miundombinu na huduma za kijamii miji yote miwili itakuwa almost sawa tu.

Kwanini useme vitu vinavyofanywa na serikali havivutii wananchi kuishi Dodoma wakati ripoti ya sensa ya mwaka jana tu inathibitisha kuwa Dodoma inakuwa kwa kasi sana ukilinganisha na population yake ya kipindi cha nyuma na hapo bado miundombinu kadhaa haijakamilishwa ile ambayo itaifanya Dodoma izidi kuvutia na kuwa jiji lenye miundombinu rafiki na ya kipekee afrika.
 
Bandari inachangia 70 percent ya mapato ya nchi
 
Endelea kufurahia ya Dodoma wakati kwenu huko kusini hakuna lolote la maana, na huu ujinga sijui utakutoka lini, unafurahia liuwanja la msalato wakati litakuwa ni white elephant, au litakuwa linapokea wanasiasa wakiwa wanatoka kula bata huko marekani.
 
Dodoma itakuwa kama Abuja tu Nigeria. Hakuna jipya hapo.
 
Endelea kufurahia ya Dodoma wakati kwenu huko kusini hakuna lolote la maana, na huu ujinga sijui utakutoka lini, unafurahia liuwanja la msalato wakati litakuwa ni white elephant, au litakuwa linapokea wanasiasa wakiwa wanatoka kula bata huko marekani.
Mbeya 👇
Screenshots_2023-04-08-15-12-13.png
 
[emoji1][emoji1][emoji1]

Kwan toka Songwe Int'l Airport ianze kazi... huwa kuna international flights hapo? Hata za Lusaka tu.

Naomba kuuliza

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Hii serikali huwa inafanya mambo kimihemko tu, Mwanza kuna abiria wengi wa ndani na nje ya nchi lakini kujenga kiwanja cha Mwanza imekuwa kama hanasa au kukomoana.
 
Back
Top Bottom