Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwani vinyesi ndio vinasababisha kansa...leta estates za dom tulinganishe na mwanza, mtandao wa lami kwasasa bado subirini hiyo outer ring road ndio uje utambe, mna vyuo au mna chuo kimoja tu.cha udom, ukibisha weka list nami niweke list ya vyuo vikuu, makazi bora hakuna jiji lenye makazi classic hapa Tanzania kama Mwanza, bustani za kupumzikia mwanza ndio mahala pake, karibu fukwe zote zimejengwa na kusanifiwa vizuri kwa watu kupumzika.....
 
Dodoma imecopy nini? Ungesema Dodoma ndiyo imekopiwa na hao akina abuja mnaowashobokea kwenye mifano yenu.
Kati ya abuja na zizi la dodoma, wapi palitangulia, wapi ni maarufu duniani, na wapi pako more developed?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba Mwanza ipo jirani mno na Musoma sasa kuna haja gani ya kujisumbua kuukarabati uwanja wa ndege wa Musoma wakati upo wa Mwanza?

Unajiuliza swali rahisi sana eti kwa kuwa kuna JNIA hivyo ilo linaifanya KIA au AAKIA isipate abiria? Siku zote destination anayofikia mtu inategemea na purpose ya kusafiri kwa abiria.

Dodoma ni makao makuu ya nchi na makao ya serikali, hivyo ina movement nyingi za viongozi na wafanyakazi (iwe ndani au nje ya nchi) na wananchi kufuata huduma ya serikali ni sababu ya kwanza ya uwepo wa uwanja huu.

Kingine ni kurahisisha huduma kwa wasafiri wa ndani na wa nje ya nchi wanaotaka kutoka au kuingia Dodoma kwa njia ya anga.

Mji mkubwa kama Dodoma haukosi wafanyabiashara,wafanyakazi kwenye mashirika,makampuni, taasisi mbalimbali ambao watapendelea zaidi kutumia usafiri unaookoa muda na kingine ni uagiziaji na usafirishaji mizigo nje na ndani ya nchi.
 
We bwabwaja tuombe uzima tutakutana hapa.
 
Kati ya abuja na zizi la dodoma, wapi palitangulia, wapi ni maarufu duniani, na wapi pako more developed?
We hayo ya mo developed na mo dewji temana nayo, acha Dodoma ikamilishe miradi yake yote ndipo tutajua nani zaidi.
 

Tafiti zinaonesha kuwa kanda ya ziwa especially Mwanza ndiyo inayoongoza kwa vifo vinavyotokana na Kansa ikiwemo ya ile ya matumbo na uzazi,

Chanzo ni wakupush tribe huwa hawakati mkono wa sweta hii inapelekea kansa ya kizazi kwa kina mama pia kunywa maji ya ziwa ambayo yanavimelea vya magonjwa yanatokana na mabaki ya vinyesi vya binadamu na mwisho ni wafanyabiashara wa nyama mwanza kutokuwa na utu uosha nyama kwa maji ya kuoshea ma.....kitoweo hili kisioze au kuharibika mapema na matokeo yake ndiyo hayo.

Kulinganisha ukubwa wa estate industry ya Dodoma na Mwanza, naona kama Mwanza ni kituko tu si vizuri kuwaaibisha.

Unahitamka UDOM huku umeketi badala ya kusimama na kutoa heshima maana UDOM moja ukubwa wake ni robo ya Jiji lenu na si madarasa kama shule ya sekondari ilivyo ile SAUT yenu bali maghorofa ya nguvu yaliyotapakaa kila mahali. Ukiondoa Bugando na SAUT kuna chuo gani kingine chenye uwalahu hapo Mwanza?

Eti hakuna jiji lenye makazi bora kama mwanza.." My foot, ukitumwa makazi bora utaleta mabatini na igogo?

Eti bustani za mapumziko unaanza kutaja fukwe za mahotel kando ya ziwa wakati kinachoongelewa hapa ni bustani za mji (recreational parks)
 
We hayo ya mo developed na mo dewji temana nayo, acha Dodoma ikamilishe miradi yake yote ndipo tutajua nani zaidi.
Na sehemu nyingine miradi yake haitakamilika, acheni kutegemea kudra za serikali nyie matonya wa dodoma.
 
Leta vyuo vyenye afdhali hapo dodoma ukitoa udom, alafu punguza shobo, Mwanza sio igogo na mabatini tu, kila mkileta picha mnaleta za mabatini kuchafua hali ya hewa wakati mwanza ina makazi mengi mazuri, na kila sehemu hapa dunia hasa majiji makubwa huwa haya kosi slums hasa hapa Africa.
 
Watu wa dodoma ,,,,,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].. population yenu ipo dispersed [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......km 2000 zilibaki ni mapori na machaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chuo cha serikali za mitaa (hombolo),chuo cha mipango ,st John na WW unaweza taja secondary zilizopo mwanza [emoji28][emoji2][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…