Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ziwa hata kagera lipo
Hata hili lipo
1682337966684.jpg
1682358004259.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka mwezi Feb dodoma walikuwa wamekusanya ...bilion 28 ..mwaka huu mkifikisha bilioni 40 kama mwaka Jana mniite fisi nipo hapà ......dodoma imeshafikia peak sa hv imeaanza kudrop [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... mwanza mpaka sasa bilion 22 ..gap la bilioni 6 tu ...View attachment 2599644

Sent using Jamii Forums mobile app
Nishasema Ilemela ni Mwanza na Mwanza ni Ilemela
 
Back
Top Bottom