Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
@ChoiceVariable
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@ChoiceVariable
Hakuna picha ya Mwanza itakosa hayo matakataka ya dream houses huko milimani 😁😁Part of CBDView attachment 2611439
Beautiful lake viewHuwezi Kuta maeneo mazuri kama haya huko Mwanza is slum
Mojor City Kwa lipi? Endelea kukariri ujinga Mzee sawa..Mwanza imekuwa major city hapa Tanzania kwa muda mrefu , so kuilinganisha na Dodoma ambayo imepewa hadhi ya city politically sio sawa, Mwanza shughuli zake kiuchumi zinaibeba , ndio mji mkuu kibiashara kwa ukanda huu wa maziwa makuu , so Dodoma bado sana , Huwezi kutoka Mwanza ukaenda kutafuta maisha Dodoma labda uwe umeajiriwa na serikali tofauti na hapo ni rahisi kutoka Dom kwenda kuhustle Mwanza